Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu wa kuendesha viongozi serikali kwa miaka 8

Dreva kiingereza chako kina matege balaa. Nashauri tumia kiswahili vinginevyo kama ni interview ya kiingereza hadi hapo umekwama. Unaulizwa elimu yako huenda ukapata msaada unakua na mipasho kama muimba taarabu. Kua makini mkuu unatafta misha sio show off.
 
Reality niliround about lakini nikajiendeleza sana kwa effort zangu mwenyewe baada ya my dady kupass away na uzuri MAISHA yangu nimefanya saana kazi ya udereva na outsiders( foreigners) nashukuru ndo mana nimekuwa tofautu saana na other driver popote nilipofanya kazi for further information just check with me threw 0715-0784-468700 Nina cheti cha VIP course nilipata na veta pia na working experience
kila laheri bro
 
Maelezo yako hayalingani na ufauru wako darasani,na barabarani.kwasababu kamaulifauru vizuri huwezi kuwa na driving licence ya daraja A,C3,D,E.
 
Dreva kiingereza chako kina matege balaa. Nashauri tumia kiswahili vinginevyo kama ni interview ya kiingereza hadi hapo umekwama. Unaulizwa elimu yako huenda ukapata msaada unakua na mipasho kama muimba taarabu. Kua makini mkuu unatafta misha sio show off.
Lakini mkuu umepata kujua nahitaji nini hasa toka kwa wadau hayo mengine ni ishu ni kazi ya udereva na so vinginevyo
 
Uzuri nilianzia kwa watu binafsi ambao hawana perdiem na baada ya kuona utendaji wangu nikapelekwa kwa wazungu ambao walipata tenda ya kufanya service ktk substations zote nchini tukaenda mikoa yote mkataba ulipoishia walirudi kwao ULAYA nkaenda kufanya kazi serikalini ila kwa mikataba
Mkuu kote huko huku make ela za kutosha?
sasa ulipaswa kufikiria kazi nyingine tofauti na udereva.
Kwa umri wako sasa achia vijana wapambane na Trafik.

Kama ulichezea pesa kwenye mapaja ya wanawake basi imekula kwako ndugu, chansi huwa hairudi tena.
Samahan lakini.
 
dereva kanichekesha anauliza kutema yai ndo nini hii ndo raha ya kiswahili
 
Huwezi kuendesha viongozi kwa licence ya madaraja uliyonayo kuwamkweri,
Kwani kiongozi gani na dreva gani anapaswa amwendeshe kaka naona mwenzangu uko mbali na mfumo wa huku kwa government mana unapangiwa mwendeshe Fulani kwa nidhamu yako juhudi zako uelewa wako na umakini wako katika majukumu unayopangiwa has a ukiwa na maadili ya kuendesha viongozi unaula wapo watu ni busara zao tu utakuta yuko na RC,DC,DIRECTORS,HOD's NK sasa we sijui huoni hayo
 
Soma vizur nilichoandika naukilewe ndipo ujibu.maana majibu yako hayaendani nanilicho maanisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom