Recent content by Vatican

  1. V

    JamiiForums Tanzania New jobs at TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation)

    Tunakushuru kwa upendo wako. Ahsante sana.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    jamani napenda kujua lini matokeo ya usaili zimamoto?
  3. V

    JamiiForums Tanzania Majina ya Makonstebo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

    Nawaombeni sana sana wakuu nawaomba mniangalizie jina la DANIEL D. K, nawaombeni sana nasikia jina limetoka lakini sikufanikiwa kupata gazeti.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani wanajf

    Tumsifu Yesu Kristo, nawaomba mniombee jamani nipate kazi wakati wa kusali na kuomba kwenu, nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii mwaka 2010, hadi leo sijapata kazi. ninapigana kwa hali yote lakini namini Bwana Wetu Yesu Kristo atatenda maajabu juu yangu na familia yangu, kupitia maombi yenu...
  5. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke wa Kirombo

    Habari wana JF naomba kujua sifa za mwanammke wa rombo hasa wa sehemu ya keni . naomba kuwasilisha:A S kiss:
  6. V

    JamiiForums Tanzania Gari ya uganda ilipoongoza maandamano Mwanza

    Jaman jambo msilolijua msibweteke, ktk majeshi wapo majeshi ya kimataifa, wapo wa EA na askar kanzu, ktk hao wapo wanaotmia namba yeyote, mf. Wapo wanaotmia DFP, T285 ADM,TP Na namba za umoja wa mataifa. Kwahyo namba za usajali wa gari zisiwachanganye wakuu
  7. V

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumtaka kamanda wa Morogoro tuu ajiuzulu?Au ndio mfumo...

    RPC wa moro hawezi kujiuzulu ngo? Padre wetu zanzibar iweje? Arusha iweje? Tatizo waislam wengi hawajasoma ndo maana wanalalamika kila siku haki, haki, na RPC moro akijiuzulu au kubadilishwa kituo ndo nitajua raisi Kikwete ni mdini,waislamu wanabebwa lakini hawabebeki jaman?
  8. V

    JamiiForums Tanzania TRA ONline job application

    Tatizo la watanzania weng kweli hawapendi kuchoka na kukubali mabadiliko ndo maana hata hatubadiliki, cha kushangaza sana ni vjana ndo wanakata tamaa na kukubali mabadiliko, naona vijana hapo wanakataa tamaa kwa mambo muhimu, lakini kujiunga na facebook, atangangania hadi ajiunge. Tubadilike vijana.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Daktari aiba Heroin tumboni mwa mgonjwa

    Mungu awape hekima na busara, kwa haya maisha mafupi, kila kitu chn ya jua ni ubatili mtupuuu.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya basi la Meridian

    Inafanya safari za Rombo to dar, dar to Rombo, same to dar.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Billioni 6.9 hizi hapa

    Kuna mradi mkubwa wa umwagiliaji jamani wilayani Ulanga,kata ya Itete unaotumia 6.9 bln. Neema kwa wakazi wa vijiji vya Njiwa, Itete.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kubwa maeneo ya Kibaha

    Tumsifu Yesu Kristu, Jamani tupo kwenye foleni hapa Kibaha tangu saa moja, tumekaa lisaa na hakuna nafuu ya kuondoka.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini Inspekta Mkuu wa Polisi Said Mwema amekataa ofa ya Boss wake?

    Said mwema ni jembe la ukweli, amejitahidi sana x2, nakuunga mkono kamanda kwa maamuz sahihi, we pumzika ni umri wako wa toba, tenda mema sasa, usiwe kama wengine wamengangania viti while vijana hawana ajira, kweli mwema ameliendesha vzr jeshi la police, kma ni maudhaifu kwa binadamu na nature...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Tuwajadili wenye nia ya kugombea urais....

Back
Top Bottom