Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema Baba usitupite!
Marehemu wote MUNGU uwape pumziko la milele shambani mwako Baba wa mbinguni!
Majeruhi wote wape kupona mapema Mungu wetu!
T.B.S waliwahi kulikagua basi Hilo?inaelekea bodi yake haikuwa imara Ndio Maana imeng'oka ! Kampuni za bodi za mabasi za kibongo zitizamwe kwa jicho ls Tatu
Basi za kutengenezwa nairobi ni hatari sana lwa wasafiri,,,south africa haziruhusiwi kuingia kwa sababu hazijafikia safety standard za kuruhusiwa kubeba wasafiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.