New jobs at TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation)

New jobs at TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation)

Age Limit,
NOT MORE THAN 30Years.
Aaaaaghhhhhh!!!!!!!!
 
Sasa hivi hawa jamaa wa tpdc wana nia ya kutoa ajira kwa wote au ndio magumashi always age age an now not only on the tpdc most of compony u will find age limit hii sign ya kuwa nafasi zimejaa fine but we still fight till the end of the game.
 
Hawapendi wazee hawav jamaa wanaolinit age kuwa 30. ,ss mazee ukichelewa hadi 30 ,ikapita sivishu hii?? Hawako fair kwa hili
 
Hawapendi wazee hawav jamaa wanaolinit age kuwa 30. ,ss mazee ukichelewa hadi 30 ,ikapita sivishu hii?? Hawako fair kwa hili

Mmh hiyo 30 ni kwa wanaume pia ama wasichana tu?

Afu hii post ya 2012 jamani mnashtua watu
 
Lazima wapost tangazo la siku nyingi magufuli si kawatumbua hakuna shirika lililokuwa linatumia hela vibaya kama tpdc eti mtu anakwambia anaenda semina morogoro analipwa zaidi ya mil 3 kwa mwezi anachoenda kufanya huko ni upumbavu tu kulewa na kufanya umalaya na kujiita wao in akina kikwete pili wakitoka ofisini pale posta wanaenda mikocheni wanalipwa eti wako nje kikazi pumbavu umetoka tpdc posta umeenda tpdc mikocheni kweli uko nje kikazi! Ahsante mungu kumleta magufuli sasa wamenywea kimyaaaaa Hamna cha semina wala nn
 
Sasa hivi hawa jamaa wa tpdc wana nia ya kutoa ajira kwa wote au ndio magumashi always age age an now not only on the tpdc most of compony u will find age limit hii sign ya kuwa nafasi zimejaa fine but we still fight till the end of the game.
Hapo kuna kuwekana sana kuna jamaa yetu aliwekwa na kaka yake hapo kisa kaka yake HR hapo tpdc jamaa akiingia na transcript sa hv anakula maisha wakat wenzake bado wanasugua hii dunia shida tupu mh raisi magufuli awamulike hao jamaa
 
Back
Top Bottom