Kuna foleni kubwa maeneo ya Kibaha

Kuna foleni kubwa maeneo ya Kibaha

Vatican

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
22
Reaction score
4
Tumsifu Yesu Kristu,

Jamani tupo kwenye foleni hapa Kibaha tangu saa moja, tumekaa lisaa na hakuna nafuu ya kuondoka.
 
Swala la foleni au tatizo lolote barabarani piga namba hizi 0732928723/0787668306 hizi ni namba za polisi makao makuu idara ya usalama barabarabi jamaa wako fasta mno watakusaidia.....shida nyingine?
 
Wao wanatengeneza balabala mpk Kimra wanategemea huko Mbezi na kibamba hakuna foren? Alafu eti wanasema Wtz tumeendelea.
 
Back
Top Bottom