Recent content by Vasco wa degamer

  1. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania Ajali nyingine yatokea Makunganya, Mvomero Morogoro

    Sasa ishakuwa zahama!.
  2. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  3. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ukitaka kufaulu mitihani fuata mbinu hizi

    Hayo yooote sikuyazingatia ila nilifaulu. Kufaulu siyo kujiumiza hivyo kiasi bwana.
  4. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2017

    Ni wana siasa wangapi wamewahi kukana kauli zao? Umekubali alichosema?
  5. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania JB: Simfahamu Ney wa Mitego wala sisikilizagi Bongo Fleva

    Hujaeleweka hata kidogo "a"na ....akili, "a"sikilizi bongo fleva?
  6. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania Jinsi mabenki yanavyonyonya na kuleta umaskini

    Nadhani ulichoandika ni swali na jibu lake ni HAPANA. kama siyo swali basi ulichokiandika siyo sahihi
  7. Vasco wa degamer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli: Mpaka kieleweke

    Sijaona ulichoandika
  8. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hapendi kuambiwa ukweli? Maana umesema hatamvumilia.
  9. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Makonda aongea na Wanahabari akiwaarifu ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Dar Es Salaam

    Sijamuelewa. Nadhani taarifa hiyo imekosewa maana haimhusu kabisa. Yeye ni nani nchini atupe taarifa ya ugeni wa nchi na tathimini ya mikopo ya nchi nzima?
  10. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Umeyagusa mawazo yangu.
  11. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Tumekula hasara bilioni 40 kwa wiki mbili baada ya kuzuia kupeleka mchanga nje. Tutawafidia?

    Serikali yetu haijawahi kushinda kesi yoyote toka uhuru. Pia hakuna mwanasheria wa serikali mwenye uwezo wa kuuliza swali kama hilo forever.
  12. Vasco wa degamer

  13. Vasco wa degamer

  14. Vasco wa degamer

    JamiiForums Tanzania Symbion yaishtaki TANESCO Mahakama ya kimataifa. Yaitaka iilipe $561 milioni kwa kukiuka mkataba

    Ulitakiwa uanze kujiuliza kwa nini waziri aliyeusaini bado anapeta.usimlaumu jamaa peke yake
Back
Top Bottom