Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Morogoro Dumila: Kutoka Mvomero ukipita tuta kabla hujafika Makunganya kuna eicher (Basi) imegongwa na Lori hali mbaya sana
Tumwombe Mungu atupiganie
Tarifa kamili badae
Tusubili Taarifa ya Jeshi la Polisi
=====
UPDATES:
Watu 24 wajeruhiwa, watatu kati yao hali mbaya baada ya basi la Karim kugongana na lori eneo la Runch Dakawa mkoani Morogoro, polisi wathibitisha.