Recent content by vannistelrooy

  1. vannistelrooy

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Ntatumia za nchi 5 tu mkuu,maana nikichek cost yake ndogo, afu kuhusu idadi ya kozi sitegemei kama ntaenda kozi zaid ya sita kwenye msingi
  2. vannistelrooy

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Shukrani mkuu ngoja nijikaze kidogo nianze na msingi kwanza
  3. vannistelrooy

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Mkuu nina tofali za inch 5, je ninaweza tumia kujengea msingi wa nyumba ya vyumba vinne? Au ni lazima nikomae nitumie tofali za nchi 6, maana tatizo bajeti yangu nayo haipo sawa...eneo ni flat na lina nature ya kichanga
  4. vannistelrooy

    Hivi Romania Ina ubalozi Tanzania?

    Hawana ubalozi Tanzania
  5. vannistelrooy

    Naomba kufahamishwa kuhusu baiskeli za umeme

    Nenda kariakoo Fire karibu na KFC na hotel ya ABC pale.kuna kampuni ya Linkall na JXB.. Pia opposite kuna duka kubwa la Sinoray nao wanauza nje hapo..ukifika mitaa hiyo ukiulizia utaelekezwa Bei inaanzia 1.4M to 2m kutokana na sifa alizotaja mdau hapo juu kwenye betri, speed na km
  6. vannistelrooy

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Kwenye ndege kuna tank la kuhifadhia uchafu(kinyesi) ndege ikitua huwa wanaenda kuumwaga. Treni mara nyingi inapita porini unakunya kinadondoka chini. Na hairuhusiwi kutumia choo cha treni kama imesimama, kwenye meli sifahamu utaratibu ukoje
  7. vannistelrooy

    Hatua ya msingi

    Shukrani mkuu
  8. vannistelrooy

    Hatua ya msingi

    Hivi kama eneo ni kichanga kuna ulazima wa chini kuanza na zege? Siwezi anza kwa kupanga tofali? Na pia kwenye kufunga mkanda wa msingi wenye kozi 7 ambazo tatu ardhini 4 zimetokeza nje. Kuna umuhimu gani wa kuzungushia na nondo nikiamua piga mkanda wa bila nondo..kuna hatari gani naitengeneza?
  9. vannistelrooy

    Unatatuaje tatizo la Milango ya mbao kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua?

    Piga vanish vizuri hii itasaidia mvua ikipiga maji yanateleza na pia kama kuna uwezekano mlango usiwe sana exposed kwa nje ukawa unanyeshewa na mvua hata kama sio mvua ya upepo..
  10. vannistelrooy

    Unapomkosea mwanamke, Usimwambie Unampenda, badala yake muombe Msamaha!

    Unakataa kabisa sio wewe, mpaka ye mwenyewe anashangaa anahisi labda ulirogwa ndo ukafika pale
  11. vannistelrooy

    Msaada kuhusu Masters in Library and Information Management

    Kama tayari upo kazini soma, kama haupo kazini achana nayo, utasugua benchi mtaani na hiyo masters afu uje uilaumu serikali ya ccm
  12. vannistelrooy

    Wale 'Team Mungu Mtu Chama' niambieni leo amecheza nini dhidi ya Coastal Union FC kwa Mkapa?

    Uzuri Simba inayocheza na Coastal huwa inakuwa tofauti sana ikiwa Champions league. Sina wasiwasi na Simba kwenye CAF
  13. vannistelrooy

    Majibu kuhusu bei ya vyakula kupanda

    Mbona yule mama alituahidi vitu vitapanda bei sababu ya Vita ya Urusi..nasikia mchele wa mbeya unatoka Ukraine
  14. vannistelrooy

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    The dead can talk. Walio hai wanapuyanga tu
  15. vannistelrooy

    Wadau maoni yenu ninataka kutumia ramani hii

    Ushauri Hii master bedroom ungeihamishia room inayofuata. Lengo ni vyoo vikae upande mmoja ili upunguze kona kona za pipe za maji taka
Back
Top Bottom