Msaada kuhusu Masters in Library and Information Management

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,181
Reaction score
3,115
Tukiacha changamoto za maji, umeme, tozo na mengine, naamini wote ni wazima na wenye changamoto za kiafya basi Mungu awape wepesi.

Niende kwenye mada, kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu hiyo masters tajwa.
Nmeona UDSM, na OPEN wanaitoa na nmevutiwa nayo kiasi ila kuna vitu nataka kujuzwa au kuvijua kabla sijajisogeza

1. Je ni umahiri gani mtu anatoka nao katika course hii
2. Je ni maeneo gani haswa wanahitajika watu waliosoma hiyo elimu,
3. Je kwa nchi yetu uhitaji ukoje kwa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiacha changamoto za maji,umeme,tozo na mengine,naamini wote ni wazima na wenye changamoto za kiafya basi Mungu awape wepesi.

Niende kwenye mada,kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu hiyo masters tajwa.
Nmeona UDSM, na OPEN wanaitoa na nmevutiwa nayo kiasi ila kuna vitu nataka kujuzwa au kuvijua kabla sijajisogeza

1.Je ni umahili gani mtu anatoka nao katika course hii
2.Je ni maeneo gani haswa wanahitajika watu waliosoma hiyo elimu,
3.je kwa nchi yetu uhitaji ukoje kwa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tayari upo kazini soma, kama haupo kazini achana nayo, utasugua benchi mtaani na hiyo masters afu uje uilaumu serikali ya ccm
 
Mimi nipo kazini mkuu.nataka tu kuongeza ujuzi na elimu ili kujiongezea value
 
Wewe usihangaike kusoma kwasababu huna akili kabisa, hujui mabaya ya Magufoool, hapo ulipo hujui kuwa Watumishi wa Umma tuliporwa haki ambazo zipo kisheria kwa miaka sita na mabaya mengi kwa wafanyabiashara.
 
Tukiacha changamoto za maji, umeme, tozo na mengine, naamini wote ni wazima na wenye changamoto za kiafya basi Mungu awape wepesi.

Niende kwenye mada, kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu hiyo masters tajwa.
Nmeona UDSM, na OPEN wanaitoa na nmevutiwa nayo kiasi ila kuna vitu nataka kujuzwa au kuvijua kabla sijajisogeza

1. Je ni umahiri gani mtu anatoka nao katika course hii
2. Je ni maeneo gani haswa wanahitajika watu waliosoma hiyo elimu,
3. Je kwa nchi yetu uhitaji ukoje kwa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Masters soma information systems au information studies
 
Wewe usihangaike kusoma kwasababu huna akili kabisa, hujui mabaya ya Magufoool, hapo ulipo hujui kuwa Watumishi wa Umma tuliporwa haki ambazo zipo kisheria kwa miaka sita na mabaya mengi kwa wafanyabiashara.
Mbona una makasiriko kiongozi.
Sio lazima tukubaliane katika kila jambo,hukuona mazuri ya Magufuli lakini mimi niliyaona,tukiwa tunamjadili magufuli ruksa kubishana kwakua ni mtazamo.

Lakini pia mimi na wewe tunaweza kubaliana katika jambo lingine vile vile na tukawa upande mmoja.

Naona suala la Jpm umelichukulia personal sana,to me is not a big deal kiongozi.tuishi mzee
 
Bado kuna watu wanapoteza muda kusoma masters,tafuteni hela acheni kupoteza muda.
 
Tukiacha changamoto za maji, umeme, tozo na mengine, naamini wote ni wazima na wenye changamoto za kiafya basi Mungu awape wepesi.

Niende kwenye mada, kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu hiyo masters tajwa.
Nmeona UDSM, na OPEN wanaitoa na nmevutiwa nayo kiasi ila kuna vitu nataka kujuzwa au kuvijua kabla sijajisogeza

1. Je ni umahiri gani mtu anatoka nao katika course hii
2. Je ni maeneo gani haswa wanahitajika watu waliosoma hiyo elimu,
3. Je kwa nchi yetu uhitaji ukoje kwa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii course ni nzuri kama undergraduate umesoma Bachelor ya Libraly, Maana mwisho wa siku unabaki kuwa Librarian, japo kama undergraduate ulisoma Degree ya libraly na GPA ni nzuri unaweza kufundisha as long as utapata Good Masters degree yenye GPA Zaidi ya nne kwa vyuo vinavyotoa classifications.
 
Hiyo hata usipokua na GPA librarian ni sawa na mwanataaluma viwango vinalingana.
 
Unakuwa mwanataaluma kwa kuwa unasimamia Libraly, na Libraly iko chini ya taaluma, lakini katika kufundisha Lazima uwe na GPA ya 3.8 Kwa Public Univeristies na Atleast 3.5 Kwa Private Universities, Hii ni sheria ya TCU na sio ya Libralians.
 
Nakazia kwa level ya Bachelor degree ndiyo unatakiwa kuwa na GPA ya 3.8 Master degree at least 4.0 kwa public universities.
 
Hii course ni nzuri kama undergraduate umesoma Bachelor ya Libraly, Maana mwisho wa siku unabaki kuwa Librarian, japo kama undergraduate ulisoma Degree ya libraly na GPA ni nzuri unaweza kufundisha as long as utapata Good Masters degree yenye GPA Zaidi ya nne kwa vyuo vinavyotoa classifications.
Iandikwe "LIBRARY", badala ya "LIBRALY".

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom