Recent content by VanMacJastas

  1. VanMacJastas

    Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

    Mimi juzi tuu,mwanamke wangu nilikuwa namuelekeza kuwa Mama yangu hapendi baadhi ya vijitabia vyake,. Heeh si akaanza kuniwakia huku akisema mama yangu amezidi kumfatilia ki ukweli hata sijui ilikuwaje nilijikuta nimempa kofi la kichwa mpaka akazima kama robo saa,ingawa nilijisikia vbaya sana...
  2. VanMacJastas

    Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

    Wasanii wengi tu,karibia nusu nzima wanakula madawa
  3. VanMacJastas

    Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

    Pamoja na mapungufu madogo aliyo nayo Mkuu wa mkoa PM,ila mpeni haki yake,kama kuondoa nauli kwa walimu limefanikiwa knachotokea ni kwamba baadhi ya walimu,wameacha kwa hiari yao kutokana na mtazamo binafsi,lakin pi swala la viungo bandia kwa watu waliokuwa wamepotezam matumaini yalirejea,so Pm...
  4. VanMacJastas

    Uangalizi wangu [my observation] kuhusu urais wa Rais Magufuli

    Huo ndio ukweli halisia!!!!!!
  5. VanMacJastas

    Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Mwembe-Same Sent using Jamii Forums mobile app
  6. VanMacJastas

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Nicee!!!!!!! [emoji122][emoji122][emoji106][emoji106]
  7. VanMacJastas

    Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

    Ayayaaaaa, tena hapo ndo umepoteza kabisaaa,Mimi huwa sipangiwi. Mjomba Mag ndo mkuu wa serikali na mkuu wa chama chenye wabunge wengi anaowaongoza yeye,, Ushauri wangu: TUFANYE KAZI ZETU, TUACHANE NA KAZI ZA WATU
  8. VanMacJastas

    Afunga ndoa na Wanawake wawili tofauti na kwenda nao Honeymoon

    Ok, asante kwa kunitoa ushamba!!!! [emoji111]
  9. VanMacJastas

    Afunga ndoa na Wanawake wawili tofauti na kwenda nao Honeymoon

    Jamani, naomba mnijuze maana ya hii threesome, maana nimejikausha lakini naona ni neno limeshamiri, msaada tafadhali[emoji22] [emoji22]
  10. VanMacJastas

    Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Mchizi safari hii, kaingia cha kike, atajuta!!!
  11. VanMacJastas

    Ukimfahamu Makonda hutaacha kumpenda, hata wapinzani wake mkimpata mtampenda sana

    Anakimbia na hana break, what do u aspect!!!!!
  12. VanMacJastas

    Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

    Wee jamaa, mtu aliposema Mange, ukasema usichonganishwe, umeambiwa mkuu wa kaya unasema inawezekana akawa Socialpath, Acha hizo, kuwa Fair, Acha chuki!!!!!
Back
Top Bottom