Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

Huyo mtoto ana kiburi na amelewa madaraka sijui baada awamu hii na yeye atakuwa mstaafu sijui atafanya kazi na nani?? Hata sijuiii........kama atasoma alama aombe akawe katibu msaidizi wa ccm huko apotelee huko! Akibakia serikaliii atakuja kuishia jela!! Kesi jinai ya vyeti sio ndogo
 
True kabisa wa kipindisha ukweli maaaana maaana wamepindisha hukumu uliyotolewa na watanzania
Hukumu hutolewa na sheria sio watanzania hayo ni mambo Ya Sheria sio popular votes. Makonda we are with you in your mountains,valleys and rivers of your life God will help you and give you victory. Tunakuombea
 
Hukumu hutolewa na sheria sio watanzania hayo ni mambo Ya Sheria sio popular votes. Makonda we are with you in your mountains and rivers of your life God will help you and give you victory. Tunakuombea
Sheria zilizo tungwa ilizilinde haki ya raia
Unapovunja adhabu inakuhusu
 
Ayayaaaaa, tena hapo ndo umepoteza kabisaaa,Mimi huwa sipangiwi. Mjomba Mag ndo mkuu wa serikali na mkuu wa chama chenye wabunge wengi anaowaongoza yeye,,
Ushauri wangu: TUFANYE KAZI ZETU, TUACHANE NA KAZI ZA WATU
 
"Ukinipangia cha kufanya ndio Umeharibu kabisa, Mimi ni Rais Ninayejiamini"
 
Unajua kwa nini mbongo fleva yule aliachiwa na kusamehewa baada ya kushikiliwa...

Nae huyu itakuwa hivyo hivyo...
Tunasema ni ku balance mambo...
 
SAFI SANA.KAMA TULIVYOKUBALIANA NDANI YA CHADEMA KUWA TUKIMUONDOA HUYU BASHITE , SASA TUMUUNDIE ZENGWE PROF MUHONGO, THEN DR MPNAGO , THEN PROF MBAWALA. TUKIWAONDOA HAWA MBONA MAGU ATAPOTEZA MWELEKEO. SASA WANAKAMATI YA BUNGE KUTOKA CHADEMA WAFANYE KAMA TULIVYOKUBALIANA
Eti
 
Ujinga mwingine. Tena huu ni utovu wa nidhamu kuwakemea wabunge. Eti ole wao.
Utawafanya nini?
Usitafute like za aina hii.
Kenya kupitia NTV niliona Mbunge wa Jimbo amekwidwa na Wananchi wake. Vuta suti balaa.
Kisa kukaa kimya Bungeni.
 
Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekili tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kinachosubiriwa ni maoni ya kamati hiyo kwenda kwenye Bunge ambapo taarifa na maoni hayo vitasomwa Bunge linaloanza wiki ijayo 04/04/2017.

Mimi kama raia mwenye haki na wajibu kwa taifa langu, nikitambua haki yangu kwamba Bunge ni chombo changu cha uwakilishi, Natoa onyo kwa Kamati husika na Bunge pia, Ole wenu mje na hadithi ya kwamba MMEMSAMEHE.

Narudia ole wenu, Ole wenu, ole wenu kabisa..... Sisi wananchi tuna kesi nzito sana na huyu mtu nje ya yeye kutudharau na kutudhihaki kupitia bunge letu ambalo nyinyi tumewatuma mtuwakilishe...

Nataka mtambue kila mnachofanya hamfanyi kwaniaba yenu, bali kwaniaba yetu, Hivyo sisi tuliowatuma tayari tulishamhukumu na kufunga file lake.

Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Ukisikia kwamba mamlaka yote yanatoka kwa Mungu haimaanishi Mungu wa ulaya au asia, Mungu ni sisi Watanzania..
Sisi tukisema ni Mungu amesema!

Ole wenu wabunge!!!!!

Na Yericko Nyerere
Boss Yericko Nyerere mbona unawatisha Kamati, Wabunge? Ila ujumbe wako nimeupenda. Zitto katuamsha na Utani wake.
 
Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekiri tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kwa taifa LA makondoo kama lenu huyo ndio raisi anaandaliwa hapo

Na mtaufyata
 
Kwa hiyo na wewe pia unaweka biti? Kweli Dunia hii haiishi vituko!
 
  • Thanks
Reactions: mmh

Mpo mnaomkataa makonda,pia tupo tunaomkubali makonda kwa utendaji wake.Hizo ngonjera zenu za kutoa onyo pelekeni ufipa.
 
Mmmmh
 
Hivi alichokifanya mleta mada kwa lugha sahihi ya kiswahili au kiingereza kinaitwaje? Maana natamani kukieleza ila nimekosa maneno ya kuweka.
 
Back
Top Bottom