Recent content by vaileth zainab

  1. V

    Mapenzi yanauma jamani

    hakuna bina damu alie kamilika kila mtu anakosea na tunaomba msamaha tuna sameheana sizani kama nifanya kosa la kutisha any way sijui his perception sababu hata mimi nimemsahe mengi alio nikosea and sikua nakumbuka kabisa,.....i always put gud things in my heart nikisamehe nasamehe na kusahau...
  2. V

    Mapenzi yanauma jamani

    yaan najiona mjinga yaan ila nitasimama tena najua adamu wangu nilie umbiwa atakua on my side soon ila wanaume jaman kha
  3. V

    Mapenzi yanauma jamani

    i will never do it again
  4. V

    Wife kanijia juu baada ya kumgegeda mdogo wake na housegal

    shit happen kamwe usikubali kama umefanya iyo dhambi ila jua tu unaweza kumficha mwanadamu na asjue kabisa ila Mungu katu huwezi kumficha so i advise u tubu iyo dhambi na usirudie
  5. V

    Baada ya kumuoa ndio nimejua alishazaa na mwanaume mwingine

    kumbe kuna wanaume hua wana ingizwa mjni ivi ila mwanamke alie zaa hua anajulikana bana we inabidi uvumulie tu maana kama ndoa ya kikristo huna jinsi ukioa tena utakua unazini tu. pole sana jamaaa
  6. V

    Mapenzi yanauma jamani

    hahahahaha sio rahisi ha yafutiki haya
  7. V

    Mapenzi yanauma jamani

    Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia. Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume...
  8. V

    Ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike

    yaan nimekumbuka mbali since nakua nakumbuka kua na rafiki mmoja wa kike na wengine wote wakiume hata xul nimesoma gal likini my fellow gals sikuweza kua na urafiki nao mi nlikua na marafiki shule ya boys jiran same sama hadi memaliza chuo nw am fighting this sababu marafiki wa kiume nw wanakua...
  9. V

    Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

    yaan hapo ndio napafurahia namuona konda ka Malaika
  10. V

    Wanaume tubadilike, tupunguze ahadi za uongo

    mi nisinge muacha huyu ningemwambia am not mad tuonane nimpige mzinga then namwambia nimefikia kwa ndugu zangu hivyo siwez lala kwake alafu nirudi iringa in reality ndan ya moyo wangu hayupo tena ila ninge revenge angefurahia shoo aisee asinge nisahau na hivyo nimesha wasaliti wahehe wenzangu...
  11. V

    Afanyeje huyu?

    Yaan na mimi nimejiuliza kiwanja kimekuwaje.....once nilipokua chuo bf aliniambia tuchange pesa tununue shamba nikamwambia mimi sina uhakika kama utanioa tusije zurumiana baadae aiseee alikasirika hakuniamini tena uhusiano ukakosa uelekeo......ila mi nlisema ukweli mambo ya kumnunulia mwanamke...
  12. V

    Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

    nakufa nao aisee wanaume hawana shukurani
  13. V

    Mapenzi yanauma jamani

    nimelia mara kadhaa nw sipendi tena nazoea tu ukisubiri nikupende utakua unasubiri tren airport
  14. V

    Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

    yaan wahongaji hawapo mwee mi sijawahi hongwa aisee hata birthday gift hakuna aaaah wanaume hawa khaaa yaan anajikuta ana zawadi toka kwangu kibao mwaka mzima ye hana alichotoa hana hata aibu looo wanaume muwe na aibu mtu hongee kha
Back
Top Bottom