mwenzio kaandika kiswahili wewe unamchanganyia kilugha, una uhakika anaifahamu hiyo lugha?Hongera na Pole kwa kufika hapo. You'll fall in love again and if favor is not on your side , you'll come to this again. Hayo ndo maisha- you don't choose the feelings , they choose you
inawezaka maana si hivihivi.Dah......shemeji.....
Kwani ilikuwaje........?......au ulitoa vocha akapigiwa mwingine..........?
I'm pretty sure he does. Kwa sababu kila kiwezesha kupost ni cha kiingereza, menu za kiingereza na statistics za kiingereza. Elimu ya Tanzania ni ya kiingereza. Computer anayotumia maneno ya kiingereza ni mengi kuliko ya kiswahili.mwenzio kaandika kiswahili wewe unamchanganyia kilugha, una uhakika anaifahamu hiyo lugha?
HAHAHAAA MAPENZI NI MABAYA AISEE WACHAUkweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende
nimelia mara kadhaa nw sipendi tena nazoea tu ukisubiri nikupende utakua unasubiri tren airportcha mara ya kwanza unaweza lia hadi chozi la dhahabu best! ndo ukuaji huo jikaze
nimelia mara kadhaa nw sipendi tena nazoea tu ukisubiri nikupende utakua unasubiri tren airport
Hahahaha.!! Acha uchokoziJikaze kiume tupe stor vizur,,ilikuaje ukaachwa
Me too kanifurahishaNimecheka badala ya kukuonea huruma.
HahahaahaDah......shemeji.....
Kwani ilikuwaje........?......au ulitoa vocha akapigiwa mwingine..........?