Wanaume tubadilike, tupunguze ahadi za uongo

Wanaume tubadilike, tupunguze ahadi za uongo

Mkuu si ustaarabu kumtelekeza mgeni na ubungo unapajua. I don't think it needs the other side to conclude that the dude is a very sorry excuse of a Human Being. That is a crime against humanity not relationships!
Ni kweli na sikubaliani na alichomfanyia huyu binti....the question is kwanini amwache kwenye mataa!?!?Kuna tatizo somewhere.
 
We umeandika heading 'wanaume TUbadilike' nikadhani na wewe ni mwanaume, lkn kusoma mada yako naona kama ni wa kike vile. Wewe, mimi nikiwa na akili zangu za kiume full sitakosoa lolote pasipo kujua hawa watu uhusiano wao upo vipi.

Hivi unawajua wanawake wenzako wewe au unawasikia tu? Mimi niletee na upande wa pili wa shilingi ndio nitajua mna nini ndani ya kokwa. Usikute bi mdogo ni mtu wa kulazimisha king sasa jamaa kaona ngoja amuanike na yeye kumueleza hivyo rafiki yake asingeweza ikabidi atunge uongo.

Na usikute wewe muongo.
 
Basi nipe namba yake nimpigie nimpe pole sio vizuri jamaa alivyofanya
 
Maswali ya mwendo kasi:
1. Wewe (mleta uzi) umejuaje hii story maana huyo binti wala rafiki yake hujasema km umehadithiwa?
2. Nina story mbadala wa jinsia hii, vipi tuwape muda nao wabadilike (wasichana) wanayotufanyia yanatisha sana.

Sasa kwa kuongozwa na muhemko wa story yako lazima nikiri kuwa baadhi ya wanaume washenzi kupita ushenzi wenyewe, km pole yake huyo binti na bora kajua mapema.
mi nisinge muacha huyu ningemwambia am not mad tuonane nimpige mzinga then namwambia nimefikia kwa ndugu zangu hivyo siwez lala kwake alafu nirudi iringa in reality ndan ya moyo wangu hayupo tena ila ninge revenge angefurahia shoo aisee asinge nisahau na hivyo nimesha wasaliti wahehe wenzangu sijiui ng`ooo ila shoo utaifurahia
 
Huyo asingeachana nae bhana, angeendelea na mahusiano naye kwa simu japo kinafki then ipo siku nayeye amvute iringa then afanye similar thing
 
duuuh hiii inapelekeaga ukatili kwa wasio stahili kabisa unajikuta unaona wote ndio walewale.
unajikuta unakuwa malaya na sababu ukichunguza anaogopa kuingia miguu miwili kupenda
akihisi kutendwa tena
nikijaribu kuvaaa viatu vya huyo dada
yaaan ningekuwa namuomba tu mungu siku amrudishe kwangu
NIMUHASI KAMA NGURUWE
Exactly
 
Huyo jamaa kashakamatwa na totoz wa jiji la mwendo kasi, kakuta watoto wametakata na joto la jijini, mpe pole yake huyo rafiki.
 
Wanawake tunajua kupenda sanasana lakini tatizo mwanaume akishajua unampenda lazima tu atakusumbua nowdays hakuna real love wanaume wamekua waongowaongo sanaaaa.
 
Back
Top Bottom