Recent content by Uwilingiyimana

  1. U

    JamiiForums Tanzania Magufuli aendelea kuombea amani ya nchi

    Nilikuwepo. Kosa kubwa la kimkakati alilo fanya ni kuzungumza peke yake kwa muda mrefu sana, around 90 minutes. He consequently exhausted his concentration,seriously damaging his memory and the quality of the speech. Mwisho mwisho huku he was just taking the role of Joti et al, and all right -...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kachinjwa Mchana Kweupe ~ Moshi Bar

    Muda wote huo Polisi hawakuona kiashiria chochote cha hatari? How do we know huyo jamaa ni mwizi kweli ama la? Hopeless, peaceful Tanzania!!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    unaisemeaje kauli ya "Tanzania ya Magufuli"? Au jicho lako ni 1D
  4. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Namheshimu sana huyu mzee. Mmoja wa assets chache zilizobaki Tz. Ila bado sitaipigia CCM
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ndani ya CCM hayawezekani kutokana na mambo haya

    Kaka umenisemea na mimi. Huku kunaitwa "kukurupuka"
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mpinga: Taarifa kuhusu tochi Mpya (Speed Radar)

    Hivi bado Tunahitaji kamera zinazoshikwa na "askari wasiovaa sare" katika karne hii? Yako wapi matunda mema ya teknolojia wanayofaidi wanadamu wenzetu huko kwao? Huyu "askari asiyevaa sare" ataacha kujikinga mvua ikinyesha? Atasimama barabarani kama mlingoti kwa masaa mangapi kabla hajachoshwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Ulevi wa pombe kwa baadhi ya walimu ni tishio

    ...pale inapoambiwa. ..
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hatari Tandahimba, Polisi wateketeza soko na maduka, Mwema na Makamu wa Raisi Watua

    kwa kurudiarudia neno 'inasemekana' inaonyesha jinsi usivyo n uhakika na unachokisema. Si kweli kwamba mwema na bilali wako tandahimba. Waliokwenda huko ni afande chagonja na rpc. Hebu tulinde heshima ya jf kwa kusema ukweli jamani!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kifo cha Munga Tehenan

    Kusema kweli sikujua kama huyu ndugu alishatutoka. Ilikuwa lini? Imeniuma sana. Alikuwa kichwa. Kichwa kwelikweli. Pole nyingi kwa mjane na ndugu wengine. Nimeshituka!
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mary Nagu kafiwa na Baba yake

    so what?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

    hakuna nyumba ya mmakonde iliyovunjwa. Kama una uhakika itaje. Mtu aliyevunjiwa nyumba kwa kupangisha askari anatokea kilwa. By the way, wewe kwa akili yako unaona ni poa tu kuvunja nyumba ya mtu kwa sababu tu amepangisha askari? Pathetic!
  12. U

    JamiiForums Tanzania SAIGON wa EATV yuko wapi?

    Namkumbuka, namkubali. Alikuwa jembe flan hivi!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

    hivi una habari kwamba wamechoma moto nguzo 21 za umeme na kuharibu kwa sehemu kubwa miundombinu ya barabara? U need to be crazy to support such hooliganism!
  14. U

    JamiiForums Tanzania Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

    you have another think coming...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

    Nimepata picha kwamba wachangiaji wengi humu hamjajua hasa nini kinaendelea. It's xenophobia at work. Familia zote zilizoporwa au kuharibiwa mali zao ni za watu wasio wamakonde. Threats zote zinaelekezwa kwa civil servants. Hawajashambulia ofisi ya ccm wala ya ushirika. It's pure xenophobia. I...
Back
Top Bottom