Mary Nagu kafiwa na Baba yake

Mary Nagu kafiwa na Baba yake

RIP mzee wetu. Nahofu mwanao asije akatumia opportunity hiyo kwa kampeni maana popilarity yake Hanang inakwisha japo anajitahidi kuja huko kila mara. Pole zake!!
 
Sisikitishwi na msiba huu, kuanzia sasa i will call a spade as a spade.
 
R.I.P baba Mary, tunasigitika tu binti yako analitia hasara taifa . Umetuzalia binti fisadi na mwizi wa elimu, kwani mpaka sasa anajiita Dr kwa vyeti feki. Sijui kama amerithi hizi tabia kwako au kwa mama yake
 
Pole mama yetu. Upumzike kwa amani babu yetu.
 
Back
Top Bottom