Utafiti unaonyesha jinsi watoto wetu wanavyopata elimu duni.
Fuatilia utafiti huo hapa chini
http://www.twaweza.org/uploads/files/Je_watoto_wetu_wanajifunza.pdf
Ndugu Kasheshe, Dr. wa kweli hataki kutupeleka vitani ndiyo maana mara kwa mara amesisitiza wananchi kutunza amani iliyopo. Anachotaka Dr. wa kweli ni matokeo halisi ya kura za urais na siyo yaliyochakachuliwa na mafisadi. Atakayefanya nchi hii iwe kama ilivyokuwa Angola enzi za Savimbi ni hao...
Watu wenye hulka ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi wanajulikana kwa matendo yao; Buckreef ni mmoja wao. Yawezekana ni mtoto au ndugu wa mafisadi, au fisadi lenyewe. Ucheleweshaji wa matokeo ya ubunge ni dalili tosha ya wizi wa kura. Haiingii akilini nchi ya zanzibar wameshatoa matokeo ya urais...
Hivi wewe Kishongo unayo akili timamu kweli? yaani unaona ni sawa polisi kutaka kumuua mh. Zitto? Unatakiwa utoe ushirikiano katika kukemea hali kama hii maana ipo siku yatakupata wewe.
Pole sana Zitto. Nashauri uwashitaki hao polisi kama unao ushahidi
Wewe wasema Lema ni muhuni na tapeli. Hayo ni maoni yako, katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakuruhusu. Lakini watu wa Arusha si wajinga kama unavyofikiria. Wamemchagua kwa kufuata taratibu zote za kidemokrasia. sasa wewe unataka Buriani atangazwe mshindi kwa kuwa unafikiri Lema ni...
Dr. Slaa ni katibu wa CHADEMA, mtu makini; Siyo kama mropokaji Makamba(Mwalimu mkuu mstaafu). Siamini kuwa Dr. Slaa atashindwa iwapo uchaguzi ulifanyika kwa haki na kura hazitachakachuliwa. Ikitokea kwa bahati mbaya ameshindwa ataendelea kutimiza wajibu wake katika chama kama ktibu mkuu...
Tume yaahirisha Uchaguzi katika baadhi ya Majimbo na Kata
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUAHIRISHA BAADHI YA CHAGUZI MBALIMBALI
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa katika kikao chake cha tarehe...
Wengi wa Wasimamizi na makarani wa vituo vya kupigia kura Jimbo la MONDULI kwa uchaguzi utakaofanyika 31/10/2010 ni wahitimu wa darasa la saba. Ni ukweli dhahiri kuwa mhitimu wadarasa la saba hana uelewa wa kutosha kumwezesha kuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura. Madhara ninayofikiri kuwa...
Ratiba ya kampeni ya Dr. Slaa imepangwa na tume au CHADEMA ndiyo ilipendekeza. Naona ratiba hiyo haiyapi baadhi ya maeneo umuhimu unaostahili kwani anachukua muda mfupi sana na hafiki baadhi ya maeneo muhimu. Mfano Arusha hajafika Monduli ambako yupo kinara wa ufisadi. Kwani hiyo ratiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.