Hali ya baadaye ya dr. Slaa kisiasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya baadaye ya dr. Slaa kisiasa.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bhbm, Nov 1, 2010.

 1. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wapendwa wanajamii wenzangu naomba nielimishwe kama kuna uwezekano wowote wa mheshimiwa Dr. Slaa( PhD YA DARASANI) kupata ubunge wa viti maalumu ikitokea kwa bahati mbaya ccm wakafanikiwa kuchakachua matokeo ili naye akaongeze na kuendeleza mapambano pale mjengoni Dodoma ya watanzania.
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Alishasema kuwa yeye ni Katibu wa chama kama atashindwa atafanya kazi hiyo ndani ya chama
   
 3. J

  Jafar JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Atakuwa Spika wa Bunge
   
 4. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kusoma tuu haisaidii inabidi uwe na street as well...Poleni sana Chadema next time though i feel you!
   
 5. P

  Paul J Senior Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binti Maringo

  Nimekupata vizuri hata kama mtashinda kwa kuchakachua matokeo tayari tumewatia adabu na next time tutawakalia kooni na hilo genge la wahujumu nchi tutalisambaratisha vibaya!
   
 6. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Binti maringo pole wewe ambaye wananchi wamejieleza wazi kuwa wamechoka, Tena hivi mmefunnga vyuo vikuu kwa kuogopa nguvu ya vijana wasomi, pamoja na uchakachuaji ndio labda JK (phd ya disco) ashinde la sivyo, kama haki-vyuo vingekuwa wazi-kura wazi walaaaaaaa BUT we'll reach there wanamapinduzi hawafi moyo.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa siyo mtu mdogo kama unavyofikiri
   
 8. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acheni mbwera mbwera,Dr.Slaa ni Rais wetu mtarajiwa!
   
 9. u

  uvivumwiko Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr. Slaa ni katibu wa CHADEMA, mtu makini; Siyo kama mropokaji Makamba(Mwalimu mkuu mstaafu). Siamini kuwa Dr. Slaa atashindwa iwapo uchaguzi ulifanyika kwa haki na kura hazitachakachuliwa. Ikitokea kwa bahati mbaya ameshindwa ataendelea kutimiza wajibu wake katika chama kama ktibu mkuu; Ataendelea kukijenga chama makini ili 2015 kiongoze watanzania kukamilisha kazi ya kurejesha uhuru wa kweli uliopatikana mwaka 1961.
   
 10. u

  uvivumwiko Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha kurudiarudia kuweka thread amabayo ulishaiweka. Umetumwa na CCM?
   
 11. Nyabwire

  Nyabwire Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanamapinduzi wa kweli hasubiri kuwa bungeni kutetea haki.
   
 12. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama ikitokea akashindwa kwa sababu yoyote, hapo ndipo atakuwa na kazi kubwa zaidi. Ninaamini kwa strategy alizo nazo na zile za washirika na washabiki wa CHADEMA (wakiwemo wana CCM) kazi ndiyo itakuwa imeanza. 2015 siyo mbali.
   
 13. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Elimu nayo muhimu. You can not expect something valuable from a person like Makamba
   
 14. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bump!
   
 15. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kumpeleka huyu Bungeni ni Kumdhalilisha... please kuna kitu cha kufanya ndani ya chama, naomba nisikiseme waseme wadau wa chama chao.
   
 16. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kubali pole ndiyo ukubali basi dogo!
   
 17. K

  Kudi Shauri Senior Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2007
  Messages: 154
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kufuatana na taarifa mpaka sasa inaelekea Wapinzani watakuwa na Wabunge wengi sana ukilinganisha na Bunge lilopita. CCM itashinda Urais labda kwa kama 60% [au chini ya hapo]. Huu kwangu mie ni ushindi mkubwa sana kwa Wapinzani na somo kubwa sana kwa CCM. Hali ya serikali haitakuwa kama ilivyokuwa katika Bunge lililopita ambapo Chadema walikuwa na Wabunge watano tu - Ingawaje kulikuwa na Wabunge wengine wa upinzani wa CUF - wengi wao walitokea Visiwani na kero za wananchi wa Bara zilikuwa haziwasumbui sana. Wabunge hao 5 wa CHADEMA walikuwa mwiba sio tu kwa serikali bali kwewa CCM na hasa wale mafisadi ndani ya chama hichi.

  CCM inabidi ijifunze toka hili na mtu wa kwanza ambae angetakiwa juma lijalo ajiuzulu ni Katibu Mkuu - Makamba. Mengi yaliyotokea ni own goal on the part of CCM - hasa katika stage ya kura za maoni - ambapo Chama kilikuwa hijacked na mafisadi. Katibu Mkuu alishindwa kabisa kuzuia vyombo muhimu vya CCM katika ngazi zote - kuanzia kata mpaka kitaifa kuwa hijacked na mafisadi. Uchaguzi wa CCM wa 2012 ni lazima usahihishe haya makosa - ama sivyo mwaka 2015 CCM itasambaratika kama KANU; UNIP etc.

  Mungu ibariki Tanzania; Mungu ibariki Afrika.
   
 18. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu mimi naona tuyaongelee haya na vp atafanya baadaya ya Dk 90!
   
 19. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamani nashukuru sana kwa wote walionielewesha vizuri, mimi ni mwana mageuzi mkereketwa sana na kiu yangu kubwa ni kuona Tanzania inapata kiongozi makini mwenye uchungu na uzalendo na nchi yake kama DR. SLAA. Nimeuliza hivyo coz nilikuwa natamani aendelee kurusha na kulipua mabomu bungenin kama alivyofanya kwenye bunge lililopita kwani kwa kuwa mbunge pia anakuwa na kinga ya kushitakiwa na kusumbuliwa na vyombo vya dola, ila kuna baadhi wamenielewa vibaya.
   
 20. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Asante sana mpendwa.
   
Loading...