Tathmini ya kina uchaguzi 2010: Kama kweli ......

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
21
Aisee hio tathmini naona kama its a true picture ya nini kilichotokea kabisa.

Pamoja na kwamba inaonyesha Slaa ameshindwa lakini imeweka kwa ubayana na ukweli kabisa kura ambazo zinaonekana ni karibu na ukweli wa hali halisi iliyo kuwepo.

Swali langu, hizi kura za hii tathmini mlizipataje? au ilikua ni makadirio tu? Je mlitumia mawakala au watu wa kuaminika kupata idadi ya kura hizo?:bowl:
 
tzjamani

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
995
30

Inatembea kwenye net. Nimeiangalia ina mwelekeo wa kufanana na ukweli.
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,676
2,189
Ivi NEC kama wangeyatangaza haya tatizo lingekuwa wapi?Manake kama kushinda JK angekuwa ameshinda ingawa kwa tofauti ndogo tuuuuuuu
Imekula kwao NEC
Ila kama ndo hayo sasa mbona hayareflect kwenye ubunge?au ndo uchakachuaji?
 
tzjamani

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
995
30
Wamezoea kubaka demokrasia mchana kweupe. lakini TZ ya sasa haidanganyiki kirahisi. watu wamechoka na mawasiliano ni rahisi.
 
QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Tanzania Bila umaskini haiwezekani katika hali kama hii. sisiem wanaongoza nchi bila kukubalika.
 
salasala

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
223
54
Hizo tahthmini zako naona zina walakini. Kwenye kura za slaa, Kikwete na Lipumba zina decimal points. hiyo haiwezekani. idadi ya mikoa haiko sahihi, Tanzania tuna mikoa zaidi ya 23.
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,632
1,913
Hizo tahthmini zako naona zina walakini. Kwenye kura za slaa, Kikwete na Lipumba zina decimal points. hiyo haiwezekani. idadi ya mikoa haiko sahihi, Tanzania tuna mikoa zaidi ya 23.

Umeona decimal points kwa Slaa tu? mbona hata JK na Lipumba zina decimal points .Labda ungejiliuliza kwa nini decimal points na sio kusema sio sahihi.
 
Njilembera

JF-Expert Member
May 10, 2008
1,496
605
Hizo tahthmini zako naona zina walakini. Kwenye kura za slaa, Kikwete na Lipumba zina decimal points. hiyo haiwezekani. idadi ya mikoa haiko sahihi, Tanzania tuna mikoa zaidi ya 23.

Inaelekea idadi ya mikoa bara ni sawa na ile NEC iliyo nayo kwenye final results. What is missing hapa ni mikoa 5 ya Unguja ambayo ingefanya idadi ya mikoa iwe 26. Na kama angejumuisha kura za Zanzibar(mikoa 5) pengine Kikwete angepata ushindi wa margin kubwa zaidi.

Ila kama hivyo ndivyo ilikuwa basi kilichofanyika sio uchachuaji bali ni UBAKAJI WA KURA NA DEMOKRASIA
 
Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Sep 8, 2010
1,017
256
Ivi NEC kama wangeyatangaza haya tatizo lingekuwa wapi?Manake kama kushinda JK angekuwa ameshinda ingawa kwa tofauti ndogo tuuuuuuu
Imekula kwao NEC
Ila kama ndo hayo sasa mbona hayareflect kwenye ubunge?au ndo uchakachuaji?

Ushindi wa kishindo mkuu. Zanzibar Dr. Sheni kashinda kwa 1.1% watu wamesherekea. Huku tunataka ushindi wa kimbunga hata kwa watu kufa, huku tukihubiri amani na utulivu.
 
Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,800
2,713
Aisee hio tathmini naona kama its a true picture ya nini kilichotokea kabisa.

Pamoja na kwamba inaonyesha Slaa ameshindwa lakini imeweka kwa ubayana na ukweli kabisa kura ambazo zinaonekana ni karibu na ukweli wa hali halisi iliyo kuwepo.

Swali langu, hizi kura za hii tathmini mlizipataje? au ilikua ni makadirio tu? Je mlitumia mawakala au watu wa kuaminika kupata idadi ya kura hizo?:bowl:

Hii tathmini inatia mashaka na kama mimi ndiye ninapewa hii tathmini nitaihoji ukweli wake na malengo yake ya kutolewa. Kwanza inaonekana ilifanyika kabla ya uchaguzi ikikadiria kuwa ni asilimia 65 ya wapiga kura ambao wangepiga kura. Sasa kihalisia haiwezekani nchi nzima kila mkoa wapiga kura wakawa ni asilimia 65% ya waliojiandikisha.
 
Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,800
2,713
Umeona decimal points kwa Slaa tu? mbona hata JK na Lipumba zina decimal points .Labda ungejiliuliza kwa nini decimal points na sio kusema sio sahihi.

Decimal points zipo kwa wagombea wote na ni moja ya mambo yanayotia mashaka na uhalisia wa hii tathmini. Kama ingefanyika kwa kutumia data haliza za watu waliopiga kura tarehe 31/10/2010 tusingetarajia kupata watu vipande kwenye tahmini hii.
 
skeleton

Member
Aug 17, 2010
60
3
Hii report yako ina uwalakini:
haionyeshi matokeo ya zanzanzibar,
idadi ya wapiga kura ilikuwa approx mil 8 wakati hiyo yako inaonyesha ni approx mil 13
hainyeshi kura zilizoharibika
Kwa kifupi iko too brief.
Tunaomba utuelezee hizi descripancies tatu nilizoziorodhesha zinakuwaje?
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
220,746
728,548
idadi ya wapiga kura ilikuwa approx mil 8 wakati hiyo yako inaonyesha ni approx mil 13
hainyeshi kura zilizoharibika
Uchaguzi huu kutokana na ufisadi uliosimamiwa na JK kamwe hatutaweza kujua idadi halisi ya wapigakura au ni nani alishinda uchaguzi huo ua hata uhusiano kati ya kura za Raisi na za wabunge.................................
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom