rombo?mkuu manne na iringa mjini wameshakubali
Tunaomba mtupe data za uhakika, nani kashinda na chama chake hiyo italeta raha zaidi :israel:
Huenda mama Salma ndio kaharibu zaidi.pamoja na mbwembwe zote za Salma bado arusha imeenda upinzani? Hakika TZ will never be the same after this general election! Hurrah!!!!
Lema tayari mbunge, ndo tunashangilia ushindi hapa.
Kura:
CHADEMA: 56,000+
CCM: 36,000+
Peopleeeeeeeeeeeeee's Power.
Lema mwenyewe mnayetaka kumpigania ni muhuni na tapeli tu. Kama tungefanya intavyuu kati ya Buriani na Lema, kila mtu mwenye akili timamu angemchagua Dr. Buriani. This is where democracy got it wrong. Ideological na ushabiki gets in commonsense.
Yule profesa wa Ulanga (chadema), hata mimi CCM damu, lakini namkubali kuingia bungeni koz it will make it better, kuliko hata mdau wa CCM. Sasa huyu muhuni Lema, anatuwekea jiji letu la bata (A-town) katika roho juu juu. Kazi yenyewe ya ubunge he is unqualified.
muda mfupi uliopita peoples power wametawanywa kwa mabomu ya mavhozi, naona vijana wengi mikono iko kwenye paji la uso
Arusha imelipuka kwa furaha kinachosikika sasa ni mayowe ya furaha na honi za magari.Huyu mama aliwahi kutamka ktk moja ya kampeni zake kuwa watu wa Arusha mtake msitake mi ndio mbunge wenu" kiko wapi sasa?