uvivumwiko
Member
- Mar 22, 2010
- 20
- 1
Ratiba ya kampeni ya Dr. Slaa imepangwa na tume au CHADEMA ndiyo ilipendekeza. Naona ratiba hiyo haiyapi baadhi ya maeneo umuhimu unaostahili kwani anachukua muda mfupi sana na hafiki baadhi ya maeneo muhimu. Mfano Arusha hajafika Monduli ambako yupo kinara wa ufisadi. Kwani hiyo ratiba inasemaje? wenye nayo naomba msaada.