Blandina Nyoni ,KATIBU MKUU wizara ya afya ,ambaye pia aliwahi kuwa mhasibu mkuu wa serikali ,na kuwa katibu mkuu wizara ya mali asili ni mojawapo ya wanawake maarufu nchini,
Pengine labda kutokana na nyadhifa alizoshika mf Mhasibu Mkuu wa SErikali na kM wa wizara kubwa mbili.Lakini haiba yake...