Wamisri wana nia gani na sis! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamisri wana nia gani na sis!

Discussion in 'International Forum' started by utiyansanga, Jan 19, 2011.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana kumemalizika mashindano ya soka kwa nchi za bonde la mto nileambapo timu ilshindwa vibaya lakini ikaambuliwa donge nono 1la sh.75,000,000.
  Mashindano hayo yamemalizika kwa amni lakini swali la kujiuliza je mashindano haya hayana implication yoyote kiuchumi na kisiasa kwa kuzingatia mvutano wa chini 2 uliopo kati ya Masri na nchi zingine zilizopo katika bonde hili kuhusu matumizi ya mto Nile?
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni maji ya mto nile ndugu yangu!
   
 3. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Pengine wanataka kujenga ukaribu zaidi ili tulegeze kamba katika kuwabana juu ya matumizi ya mto Nile. So iyo ni takrima au hongo ili watulainishe kwenye matumizi ya mto.
   
 4. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani, aliyeshindwa anapewa zawadi?? Kwa vyovyote watakavyoelezea lakini tafsiri yake ni hongo. Sasa kwa ajili nini?? tusubiri tuone.
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sijaona tatizo lolote maana hawa jamaa wamegundua ni vizuri zaidi kujenga mahusiano na majirani zao kuanzia ngazi ya chini kupitia michezo. Hii ni strategy nzuri zaidi ya ile ya kutangaziana ubabe..
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Kama mshika mkia amepata mil 75 hii kufuru ya pesa maana kanda yetu hii mshindi anapata 30m...nimesikia tff wanafikiria kujitoa cecafa wajiunge kule kwanza kiwango pili...mpunga!!dooo....kazi ipoo
   
Loading...