Hivi kikwete anajua au?

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Wanajf wenzangu huwaga nakaa na kuwaza hv huyu ndugu kikwete anajua au ?eti nchi kuna shida nyingi eti kikwete anajua?eti jamani matokeo ya skuli za kata mabaya eti anajua ?eti jamani dr. kikwete anajua doctorate wenzake wanatabikia kuzipata ama yeye anazo 5 hashangai kweli?hv kikwete anajua kama kuna wataalamu wengi wapo mtaani wakipewa nafasi wanaweza?eti jamani wanajamii forum wenzangu eti kikwete anajua kama akitumia mawazo yetu ya jf anaweza timiza ahadi zake zote na kuifanya tz free from masikitiko,matatizo,vilio na majonzi eti jamani kikwete anajua kweli au washauri wake hawamwambii?jamani eti anajua au anajidai hajui hadi nchi nzima tuandamane kama misri au tunisia jamani?eti kikete..... ooh sory ni kiwete.....mmnh makubwa haya....si huyu kibwete.... aaaah jamani why ni mh.dr.raisi.mtukufu kikwete anajua jamani au hajui?
 
Atajulia wapi wakati anakaa white house. Mapema baada ya kuingia ikulu awamu ya kwanza kwenye kipindi cha hard talk alisema hajui kwanin tz ni maskin. Sasa atajulia wapi yote hayo magum kwake. Sipat picha class ilikuwaje. Mbaya zaidi amerudia tena kauli hiyo siku ya mahojiano na waandishi wa habari. Aliulizwa ameonaje hali ya nchi alipozunguka nchi nzima? Unajua alijibuje amekutana na shamra shamra za wananchi. Hakuona umasikin uliokithiri, hakuona nyumba za tembe na mbavu za mbwa. Hivyo hayo unayozungumza ni mambo makubwa sana kwake.
 
Msameheni jamani, inawezekana jamaa anajitahitadi sana kadiri ya uwezo wake lakini mambo yanamzidi nguvu.:A S thumbs_down:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom