utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Kuna kila dalili za kutimia kwa kauli ya DK SLAA kuwa bajeti ya mwaka huu ilikuwa ni kiini macho ,na kuwa haitafika mbali!baada ya serikali kuanza kuziagiza wizara kukata kiwango fedha ili ziende hazina .haijulikani kama punguzo hilo linahusiana na malipo fulani au vipi ,lakini wazalendo waliopo jikoni watatupasha ...isije ikwa ndio malipo ya DOWANI HAYA!au ndi bajeti hewa inaondolewa kwenye vitabu! Najua matasema udaku au source! .....siwezi kuweka source hapa lakini habari ndio hiyo! Serikali inaelekea kubaya ,jamani angalieni mnapopiga kura !