Recent content by Utamu Extra

  1. Utamu Extra

    Natafuta Mchumba/Mume.

    Hongera mwaya kwa kukupata ujasiri huu wa kueleza kile unachokitaka, usiwajali hao wanaojibu km wanatumia kichwa cha chini kufikiria,mungu akujalie umpate mkweli umtakaye.
  2. Utamu Extra

    Natafuta Mchumba/Mume.

    Hivi kwani ni lazima kila thread uchangie,mwenyewe alishasema kama unaona haikuhusu pita tu, Na kweli hata siginecha yako inajieleza kweli hiki ulichoandika ndicho ulichopewa kichwani mwako.
  3. Utamu Extra

    I'm in love.

    Haswaaaaa!!!!!nakula raha zangu taraaaaaaaaaatibu.
  4. Utamu Extra

    MMU week hii dah!!

    Hawa wanaume bila kutuongelea sisi wataongelea nini,bila hadisi zinazotuhusu nani atachangia,na kule kwenye makwanda na mamgamba ban nje nje,acha watuongelee tu nyoyo zao zifurahi na wapunguze mawazo,nyingi hapo ni za kutunga hazina ukweli kabisa.
  5. Utamu Extra

    Huyu mrembo vipiiii, mambo gani haya...

    Anataka ndoa,kumegwa megwa hovyo sio mpango.
  6. Utamu Extra

    Kisa cha mwanamke wa ziwani

    Yani hadisi ndefu mpaka nimesoma siku mbili,haya hongera babu,fanya mpango na kanumba atutengenezee livideo lake.
  7. Utamu Extra

    Ongezeko la vifo vya wanaume........................

    Sasa km huu utafiti ni wa kweli huko mbele ya safari itakuwaje,hivi tunanyang'anyana wanaume hamtutoshi,mikizidi kufa sio itakuwa tabu tupu,mungu aepushie mbali au sie wanawake atupunguze kiaina ili namba ibalance na wanaume.
  8. Utamu Extra

    I'm in love.

    Hongera bwana,haya mambo ni nadra sana,mengi ni wizi mtupu.
  9. Utamu Extra

    whether you want or not, your answer will be three (3)

    Shule niliyosoma hatukufundishwa hesabu.
  10. Utamu Extra

    Wanawake na Kunywa Pombe/Kuvuta sigara

    Hakuna cha kujificha wala nini,tena ile hatutumii glas km hao mabinti zenu wa huku mjin,nikiweka mdomon ni tarumbeta niniweka chupa chini namwambia mhudumu afungue nyingine ebo!
  11. Utamu Extra

    Zain Vs Airtel

    Jina la Zain lina mvuto sana kwangu kwan linataka kufanana na la my mupenzi,so hakuna wa kunishawishi nitamke vinginevyo!!
  12. Utamu Extra

    I just changed....

    Hapa bila bila.
  13. Utamu Extra

    Uongo jamani

    Asa km umetaka kudanganywa je,mie nitafanyaje,nakudanganya weeeeeeeeeeeeeee,alafu wala sijisumbui kumbuka hata tukikutana akija vibaya nakudanganya kwa mata nyingine,tena inakuwa tofauti na uwongo wa mwanzo,kwa taarifa yako kila anayedanganywa ameomba kudanganywa bila kujua au kwa kujua.
  14. Utamu Extra

    Jamani naumwa mwenzenu

    Pole sana mgonjwa,juzi siku ya ukimwi duniani ulikumbuka kwenda kupima?km bado fanya mpango ujitambue mapema.
  15. Utamu Extra

    Wanawake na Kunywa Pombe/Kuvuta sigara

    Usiogope mwana kwetu huyu ana matatizo na starehe za wengine,km vp mpotezee tu,watu wanapiga mpaka msuba na hubby wake bado kakolea na maisha yanenda tu!!
Back
Top Bottom