Hapa mnadiskasheni nini?
Mmeiona sredi ya kinadada mnaomnyemelea mme wa eliza saa tisa usiku?
Hii ndio MMU ya mwaka huu! Bora mwaka uishe labda zilipendwa zitarudi tena kwenye chati...
1.Mke wangu ana Mimba ya Wajanja!
2.Nauza Mke Wangu!
3.Ndoto ya mke wangu imepunguza Upendo na amani!
4.Atorokwa na Mke Siku moja baada ya harusi!
5.Nimechoshwa na huyu mwanamke ..!
Kulikoni mbona kila kukicha ni matatizo wanawake wanawake nini kimetokea ...?:A S-coffee:
FL... Bora umeliona na kutuwakilisha. I bliv you are well and good.
shangazi nimepita tu wala sijaona ulicho post. heri tu ya mwaka mpya na x-mass
FL... Bora umeliona na kutuwakilisha. I bliv you are well and good.
Ashadii usiwe unapotea hivo mpendwa ..umeona mambo ya MMU ya sasa lol my wife, my wife
Eishhhh.....yani tutongozane midume kwa midume........?Babu na Nyie mnakosea kwa nini hamuwatongozi mpaka wanaanza kujiliza wenyewe ,,,kweli siku hizi mapenzi mtafutano
Hawa wanaume bila kutuongelea sisi wataongelea nini,bila hadisi zinazotuhusu nani atachangia,na kule kwenye makwanda na mamgamba ban nje nje,acha watuongelee tu nyoyo zao zifurahi na wapunguze mawazo,nyingi hapo ni za kutunga hazina ukweli kabisa.1.Mke wangu ana Mimba ya Wajanja!