Recent content by Utakatifu na haki

  1. U

    JamiiForums Tanzania Tunduma hatutaki maji Yenu! kura zetu ni chadema!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  2. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  3. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimeamua kura yangu asubuhi na mapema Lissu atapata

    Mwanzo Mimi nilikuwa namkubali Magufuli lakini hizi hapa ni sababu ambazo zinanifanya nimpe Rais wangu Lissu kura 1: Mpaka sasa hivi hamna aliyejibu hoja za Lissu kwa ufasaha! 2: Magufuli anachuki ya waziwazi tena inaonekana ni Mtu katili kwa vitisho anavyovitoa kwamba tusipochagua CCM na watu...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Acha siasa! Engineer hawezi kuwa mwalimu? Chuo umefundishwa na nani?? Alafu engeneer level ya diploma kuna technical school nyingi,za kufundisha, vyipo vyuo vya kati mfano Focal development college( FDC) vipo chini ya wizara ya maendeleo ya jamii, vinatoa cheti cha ufundi kama wa veta! Unataka...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Kumbuka hao sio waandisi ni matechnician ambao kimsingi hawasomi kwa Mkopo wa serikali!! Hivyo hawadaiwi na loan board!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Sio kila kitu mnapinga, Technician wanaohitajika hapa ni kwa ajili ya kwenda kufundisha vyuo vya Maendeleo ya wananchi FDC bila shaka
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani ya nchi hii ipo mikononi mwa wakurugezi pamoja na Tume ya uchaguzi

    Diwani wa chadema kakatwa kapelekea vurugu hatimaye Mtu mmoja kufariki na wengine kujeruhiwa vibaya sana
  8. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani ya nchi hii ipo mikononi mwa wakurugezi pamoja na Tume ya uchaguzi

    Kilichotokea mkoani Songwe na kupelekea umauti wa Mtanzania ni ishara kwamba amani tunaivuruga wenyewe hasa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia haki wanashindwa kutumia hekima wala busara mahali panapohitaji hekima au busara kwa maslahi yao au itikadi ya chama Fulani. Ni mambo ya hovyo...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Masanja acha kulitukanisha jina la Bwana Yesu kwenye majukwaa ya wamataifa

    Habari wakuu! Wokovu sio Bwana asifiwe, Wokovu ni maisha mapya! Ni mabadiliko anayoyapata Mtu baada ya kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake( Yohana 1:12) Masanja mkandamizaji ww ni mchungaji kitendo cha ww kwenda kucheza jukwaa moja na wasanii wa bongo fleva na wengine! Bado...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri nipo njia panda

    Habari wakuu? Naombeni ushauri wenu, mm nimesoma FTC or ordinary diploma in Mechanical Engineering under government spornsership ! Sikupitia advance Lakini nilipokuja mtaani nakuona hali ilivyo kwa upande wa degree in Engineering, sitaki tena Mwenda kusoma degree yoyote ya Engineering...
  11. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Masasi CCM msipokuwa makini linaenda Upinzani

    Habari zenu wakuu. Jimbo la Masasi ambalo lilikuwa chini ya mbunge Dkt Chuachua! Kwenye kura za maoni Dr chuachua alipigwa chini na mwambe ambaye anaonekana ana ushawishi mkubwa sio kwa wajumbe lakini pia ni kipenzi cha wananchi! Katika uchunguzi wangu nimengundua hili CCM isipokuwa makini...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya Bachelor Degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and Maintanance Engineering

    Habari wakuu? Kati ya kozi ya Bachelor degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and maintanance Engineering Hizo kozi naombeni ushauri zinatolewa bila shaka NIT, ni ipi kozi nzuri na isioumiza kichwa!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Lissu ni mhanga wa kifo anastahili mapokezi ya kitaifa. Tujitokeze kwa wingi

    Tukikumbuka kilichompata Mhe! Tundu lissu 2017, kwa mtanzania yeyote mwenye mwili na anamwabudu Mungu, mwenye huruma na upendo alimponya tundu Lissu ni Mungu tu, hili halina ubishi, mpango wa wabaya wake ulikuwa tundu lissu afe lakini mpango wa Mungu tundu lissu aishi alitumize kusudi! Tunaenda...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha Sita

    Njoo inbox!
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nipeni dili

    Njoo inbox!!
Back
Top Bottom