Nipeni dili

PutinV

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
1,046
1,637
Wasalaam wana MMU.
Mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha sita mwaka huu na sasa niko safarini kuelekea huko nyumbani Kilimanjaro.
Nikitazama mwezi au miezi michache iliyoko mbele yangu, naona nitakwenda kukaa nyumbani bila ishu yoyote ya kufanya.

Nilikuwa naomba ushauri kutoka kwenu ni shughuli gani ya kuingiza hata 2 000 kwa siku (sio sawa na bure) ili niweze ku-apply angalau moja ya principle za Mwalimu Nyerere kwenye falsafa yake ya education for self reliance (najua kitaa ni kitaa na shule ni shule).

Nakaribisha mawazo yenu.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom