Nafurahi kusema kwamba, mwelekeo wa Rais katika maamuzi mengi una viashiria chanya zaidi kuliko hasi, hasa kwa sisi wengi tunaoona mbali. Sizungumzi kwa niaba ya wale wenzetu wachache ambao kwao, jema huwa wanapendelea lionekane baya na lile baya liwe baya zaidi. Hapa nazungumzia wale walio na...
Wewe ni mtu mzima,angalia sababu ya wewe kumpenda na mazingira ya yeye kukupenda ingawa ameoa. Kama mnataka kutumiana na kuachana ni maamuzi yenu na kama yeye amemchoka alienae na anataka kumove on,hayo ni maamuzi yenu.
Kuwa na Phd siyo kujua kila kitu pia ukumbuke kuwa watu wanasomea maswala ya kodi maana ni taaluma, sasa unaposema eti kwa vile tu mtu ana Phd basi automatically anapaswa ajue VAT, ni swala lisilo na mantiki maana hujaonyesha hiyo Phd ni ya maswala gani?
Hahaha! Nimeshindwa kuelewa alitokaje baada ya jamaa kuvunja simu yake na kumtukana. Naona kama kuna ya ziada ambayo hatujaambiwa kama kukwepa ngumi au kichapo heavy kilitembea na mambo mengine madogo kama hayo.
Halafu wanataka wachomekee mashati na kubeba briefcase kwa hivyo vyeti feki wakati wanaweza kulima, kufuga, kuchuuza bidhaa na hata kuunda vikundi vya maendeleo wakafanya makubwa tu.
Mtu yuko tayari akusanye milioni mbili hadi tano ya nauli aende US akabebe maboksi wakati hiyo hela akiingia nayo...
Kuwa na viwanda hakuondoi fursa ya kuuza mazao ghafi nje endapo kunakuwapo na uzalishaji unaotosheleza hilo. Kwa hiyo ulichokiandika hakina maana kwa sababu sikugusia uuzaji wa mazao ghafi nje.
Kingine unachopaswa kuelewa ni kuwa hata uzalishaji wa kujitosheleza unategemea viwanda kama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.