dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 5,850
- 14,511
Km kuna watu bado wanajitamba na kudharau wengine ktk karne hii eti kisa wamesoma sana hao bado wapo ktk analog system,mtu akileta dharau muulize tu umeona wapi mtu anakufa halafu ukaona ndugu wanashikana mashati au kupelekana mahakamani kwa kugombania kurithi wa vyeti vya marehemu..**** ***** zake nshachoka kusoma mie halafu mwisho wa siku rais wa wasafi form4 failure tu ndo ananunua nyumba South Africa wanaojiita wasomi wanaishia kuendesha i.s.t za mkopo hahahaa