Recent content by Usiufukuze Upepo

  1. U

    JamiiForums Tanzania Knowing The Unknown

    Mie natafucha nnke mwengine vo! Kama huntaki nikabidhi mie vo!
  2. U

    JamiiForums Tanzania response to ushauri about the closed thread

    Kipi bora nno kupacha USHAURI/ maoni hadharani au PM? Sabu mie yalionikumba si machache vo! Nkianza kuandika ntamaliza kurasa zote ziliopo vo.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wachumba wa jf na mpesa,tigo pesa,??????????

    Hio omba omba ndo nsozipenda mie vo! Mie nchu akiniomba, hutoa sababu zaidi ya lukuki kisha nkasepa zangu vo!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kuna future hapa?

    Kila nchu na tabu zake vo! Nkikuelezea shida za kwangu utashindwa kunchachulia vo! Nke vangu tangu arudi kwao takriban wiki mbili na masiku mpaka sasa hivi .....ningekueleza ela kisa nkirefu nno vo!
  5. U

    JamiiForums Tanzania nateseka kiukweli..

    Mie nko pweke takriban wiki mbili vo! Ningekuhadisia kisa changu na nke vangu lakini kirefu nno vo. Kama uko tyari na umetahiriwa chakufanza ni kujitosa kiwanjani mie na ww vo!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Circumsized Women: They are strong(powerful) but weak in love!!

    Nkitaka mwananke kama huyo ntampachapi mie? Nipo tayari kusafiri popoche alipo ili mradi nimpache vo.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Namwacha Mchumba wangu kwa sababu ya SIMU!

    Nawatakieni nyote weekendi njema. Byeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  8. U

    JamiiForums Tanzania Why are you still Single?

    Nawatakieni weekend njema. Byeeeeeeeeeee
  9. U

    JamiiForums Tanzania Hizi St. Makafyondo nazo! Kisa cha Mwalimu wa field...

    Nawatakieni weekend njema. Byeeeeeeeee
  10. U

    JamiiForums Tanzania Hizi St. Makafyondo nazo! Kisa cha Mwalimu wa field...

    "Kujamba ni uzima vo!" Hayo si maneno yangu vo! Ni ya Daktari!
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wanawake ndio wanaosababisha haya yote yatokee!

    Itaendelea......
  12. U

    JamiiForums Tanzania Namwacha Mchumba wangu kwa sababu ya SIMU!

    Dah! Bahati yangu mie nke vangu hana cmu, hajui hata kutumia cmu na wala sikubali hata cku moya kumkabidhizi cmu. Nishavisikia vituko na vioja vya cmu. Sitakubali kamwe nke wangu amiliki cmu vo!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waijua siri ya njiwa???

    Ningetoa maoni yangu lakini time hainiruhusu. Imagine sahivi ndio naelekea kwa bibiye. Byeeeeeeee
  14. U

    JamiiForums Tanzania Je, SMS ya mapenzi inaweza kuvunja ndoa?

    Darling BujiBuji! Ningependa nikufamu zaidi vo! Samahani bibiye aningojea sahivi vo! Byeeeeee
  15. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuige mfano wa huyu mwenzetu

    Kusaidiana ni vizuri. Kama mie nafanya kazi mon- fri ifikapo weekendi(sat & sun) naanka saa tisa usiku navaa kinyasa changu na nachukua nyavu naelekea Pwani kuvua samaki mpaka saa 6 nchana vo! Nae nke vangu kila asubuhi huvaa gauni laki na kanga zake mbili bila kusahau kandambili zake aelekea...
Back
Top Bottom