Namwacha Mchumba wangu kwa sababu ya SIMU!

Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!
Jaman episodes, poleeee, mie hata sina siri, langu lako lako langu! utakuja eeehh?nahitaji kweli mchuchu
 
Hahahaha anshawahi kuwa na Mtu fulani wakati niko chuo aisee alinikondesha jamani, yaani dada safari za usiku kila siku haziiishi mara sijui harusi mara sijui wapi na kuna mshkaji ndie anaekuja kumchukua kila mara...wanaenda hadi kulala huko asubuhi anakuambia oooh nililala na wadogo zake wa kike mara ooh alikodishia gesti maraa oohh sijui upuuzi gani huko....nikavumilia tu nikamaliza chuo nilipopata kazi tu, nikampiga chini mazima tena alikuja kushtuka naoa.........sometimes unajikuta unafanya mambo ambayo hukutaka kabisa kuyafanya ujue
 
Simu unaleta matatizo sana katika mahusiano,hivi kwanini ulikuja wakati watu wakiwa bado hawajajiandaa kukupokea na matumizi yako?Simu unatutesa sana kila siku kiasi kwamba hatuna amani na imekuwa bila wewe maisha yetu na hata mapenzi yetu yanaonekana si kitu.

Mkuu kwa umri wako inafaa ujue kuwa mwanamke alipoamua kuwa na wewe basi inafaa umwamini yeye kama yeye na ukishughulika sana na nini anafanya au nani anawasiliana nae utajikuta unapata ugonjwa wa moyo.

Huu ni wakati sasa kwako kuwa na maamuzi yaliyo bora kwako kwani umri ndio unakutupa mkono hivyo kama jambo la simu tu unatoka katika mahusiano basi wenzako tunavumilia mengi.
 
Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!

Bro unazidi kuchelewa kuoa.... Alafu nashangaa huyo mdada mzee ivyoo haoni kapata bahati ata ya kuchumbiwa, wa umri huo hawaolewagi tenaa.... UKIONA NGEDERE MZEE UJUE KAKWEPA MISHALE MINGI.. Sio simu tuu anakuficha na mambo makibwa zaidi (ana watoto)
 
nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
Akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!

kaka huyo dem bado hajayamaliza ya dunia achana nae atakupotezea muda tu...
 
Tatizo lenu wote wawili ni desperation. Umri ukishakwenda na mtu hajaoa au kuolewa anakuwa na mchecheto flano hivi. Hata busara ya kawaida tu inakosekana. Hapa unaona mapungufu mawili. Mwanamke anadhani simu yake ni muhimu sana na Mwanaume anaona kutopewa access na simu ni kosa kubwa!! just that!! Kwani hamuwezi kulizungumza mkalimaliza kistaarabu?Kwenye ndoa mnayotaka kuingia kuna makubwa zaidi ya hayo!! Grow up!! Sit down with your lover and talk sense.
 
Dah! Bahati yangu mie nke vangu hana cmu, hajui hata kutumia cmu na wala sikubali hata cku moya kumkabidhizi cmu. Nishavisikia vituko na vioja vya cmu. Sitakubali kamwe nke wangu amiliki cmu vo!
 
Mh.. huo ni wivu Mkuu.. Yaani umepata shida hivyo kutafuta cimu zake..? Kwani kuwa na mahuciano ndo kuua privacy ya mwenzio..? Ingekuwa ni vizuri kama ungemuheshimu na kumuamini mwenzio.. Hajakupa sababu bado ya kutomuamini.. Ila kama mawazo yako (yanayotokana na wivu) yanakufikirisha vibaya na kumtuhumu.. baci hicho ndicho kitakachokuja..
 
Mkuu utapata taabu sana na wanawake na ukijiendekeza hivi hutakaa uoe..busara inahitajika sana kuliko hasira..
Nikikuuliza tu kifupi nini umekiona kwenye simu hutakaa uniambie cuz its all about suspicions..
Bora umeachana na binti wa watu kungali mapema manake kwa huu wivu ungemuua...
Its only a Caesar's wife who must be above suspicion, the rest twende kazi!!..............
 
Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!

Kwani mkuu ulishawahi kusoma hiyo kadi ya gari yake ipo kwa jina la nani?
In short, mwenye gari ndo mwenye full access.
 
njoo kwangu mm nitakupa masimu yangu ukayo nayo wiki nzima..
anywayz huyo bibie umemkuta bado hajamaliza mambo yake ya kando, wewe umemuingilia...muache kwanza amalize mambo yake ya nje, akimaliza mtaongea lugha moja na mtaelewana..
 
Ukikuta mwanamke ana umri huo na hajaolewa jua ana matatizo.LAZIMA
'
Labda awe hataki kuolewa tu.Lakini kama anataka kuolewa huyo kaa nae kwa akili!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom