Je, SMS ya mapenzi inaweza kuvunja ndoa?

Je, SMS ya mapenzi inaweza kuvunja ndoa?

Naomba wataalam mnijulishe, shemeji yangu kaondoka nyumbani kwa mumewe ambaye ni kaka yangu kisa eti amekuta mumewe kaandikiana na mwanamke sms wakiitana darling
Bujibuji shemeji yako ni hasira tu ndizo zilizomfanya aondoke na zikiisha atarudi kwa kaka yako na watakaa na kuongea kuhusu hilo kwani msg haiwezi kumuondoa mke ndani ya nyumba.
Simu bwana huwa zina raha yake inapofikia mtu mzima kukutwa na msg za mapenzi na mama watoto.
 
Kuna zaidi ya hilo,mwambie kaka yako arekebishe mapema kabla hajaghairi kurudi,
 
Huko nikuyakimbia matatizo badala ya kuyakabili. Kama alikula kiapo cha ndoa, basi alikula kiapo bila kuelewa kama mlevi fulani vile. Ndoa na maisha ndivyo yalivyo kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka na maisha yanapaswa kuendelea kama kawaida. Sasa huyo anapokimbia si ndio anampa mwenzie afaidi aliyoyachuma yeye. Anatakiwa amuombe Mungu amsaidie kuirekebisha hiyo hali na kumrudisha mwenzake kwenye mstari kama sio ndoa iliyotokana na kulazimishwa na wazazi au alitumia limbwata ili aolewe au alimkubali kwa sababu jamaa alikuwa na mihela au jamaa kapata mihela sasa wanawake wanampigania au ameshindwa kumtimizia ndoa mume wake, mume naye badala ya kumfundisha anakimbilia nje au mke naye hafundishiki. Kuna mambo mengi sana yakuangalia yanayoharibu hizi ndoa sizizokuwa na hofu ya Mungu siku hizi.
 
Mwambie brother huu ndo wakati mwafaka wa kukirekebisha kimada chake kabla my wife ajarudi...
 
Bujibuji shemeji yako ni hasira tu ndizo zilizomfanya aondoke na zikiisha atarudi kwa kaka yako na watakaa na kuongea kuhusu hilo kwani msg haiwezi kumuondoa mke ndani ya nyumba.
Simu bwana huwa zina raha yake inapofikia mtu mzima kukutwa na msg za mapenzi na mama watoto.

Mzee inaonekana unauzoefu sana kwenye hii field
 
Duuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!! ina maana cku hizi darling tu inatoa talaka?
 
Umeona eee ingekuwa hivyo wengi tungeachika Bujibuji msg hiyo mahawara tu hawaachani sembuse ndoa?nyie kaeni kimya atarudi mwenyewe
jamani neno "darling" lina ubaya gani???? au tafsiri ndio inasumbua hapa....
 
Last edited by a moderator:
Naomba wataalam mnijulishe, shemeji yangu kaondoka nyumbani kwa mumewe ambaye ni kaka yangu kisa eti amekuta mumewe kaandikiana na mwanamke sms wakiitana darling
Angekutana na hii hapa nanukuu kutoka kwa mke wa jamaa yangu mumewe alitumiwa na mwanamke "umeamkaje leo? mm nimeamka salama. nimekumiss sana mpenzi wangu maana ni muda hatujaonana au kukutana kimwili". Mke alipoisoma tu akaifoward kwa simu yake ndipo akanitumia. Bado hajamuuliza mume??!!! na mimi sijamtonya. mke anatafuta evidence zaidi. ingekuwa huyu wa darling tu ungekuta ameshajitundika. Inabidi kuwa strong wakati mwingine
 
na mimi nlimweleza hilo hilo
 
Back
Top Bottom