Recent content by Urafiki

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyepigwa Risasi ampa RPC Arusha wakati Mgumu...

    Ni msukuma huyo! Wasukuma huwa hawana 'r' kwenye phonetics yao, wana 'l' tu!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

    Nadhani akili yako iko kwenye makalio tu... na kuna uwezekano mkubwa kwamba unashiriki mapenzi ya jinsia moja wewe si bure. Una kipimo cha kupima ubora wa vyuo vikuu wewe mburula??? Kapime akili za mashoga na wasagaji wenzio kwanza uone wewe ni ----- kiasi gani kwenye hilo kundi leni.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

    Umesomeka bro! Mjuzi wa tafsiri. APEPE/RIP
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kauli aliyoitoa rais Banda juu ya mpaka wa ziwa Nyasa juu ya mpaka alipotembelewa na ujumbe wa mara

    (Da Joy + M23 + Kagame + Darfur) is equal to ...???
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Rwanda, watutsi, Paul Kagame na uchochezi wa mch. Mtikila

    Tafuteni undani wa 'The Hima Empire or Bahima Empire' ndo mtawajua Watutsi (Kagame na Mseveni) na siri yao.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Secretary, Receptionist au Customer Care (Arusha)

    Why only in Arusha???????
  7. U

    JamiiForums Tanzania Bundle za 400MB kwa Tsh.2500 umesitishwa?

    Zimeshafutwa tangu Februari 10; sasa hivi kutakuwa na MB500 kwa TSH.3,500/= na zitadumu kwa siku 10 tu. Upo hapo mdau?????
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

    Bora umemwambia huyu msomi-jinga. Aweke wazi vigezo alivyotumia kwenye ranking yake. Au aweke chanzo cha taarifa kama ranking si zake!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

    Mambo mengine msiwe mnafasiri bila kujua utamaduni wa mahali panapohusika. Nani anaujua utamaduni wa Waarabu wa Oman? Kama ni upanga, DINI zote hizi NGENI (Ukristo na Uislam) zimepitia hatua ya kuenezwa kwa upanga.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Akina nani? na Wanapata wapi mawasiliano yetu

    Achana nao, ni wababaishaji tu. Hata mie washanipigia nikafanya ka simple research kuwajua, nikagundua kuwa hawana jipya.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya matokeo!

    Asante kwa taarifa nzuri.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

    No comment.
  13. U

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Inna lillah wa inna illah rajuuun!
  14. U

    JamiiForums Tanzania CCM yapasuka? Kinana ang'atuka...

    Napita kwanza; nitarudi baadaye kidogo.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

    Allah Akbar! Mungu ni Mkubwa!
Back
Top Bottom