yuppie boy... Nimefuatilia sana kuhusu hii ya fiction kuwa turned to reality na nimegundua kuwa mengi ya tunayooneshwa kwenye series na movie za upelelezi, tech etc ni ama inakuwa ni leaked info na movie directors wanalipa life or based on the trend they predict the impact which ends up kuwa...
Kama ulipata bahati ya kupitia makundi mbalimbali ya vijana na kushiriki kikamilifu katika harakati na changamoto zake, kumuelewa JM na uzito wa muswada aliopeleka ni rahisi. Otherwise... Utajifanya kuona hauna maana.
Gang Chomba hawa vijana wanaomsifia #Messi kwa #Gaucho hawajamshuhudia vizuri. Nawaomba wote warudi #WC2002 wataelewa unaongelea nini.
Otherwise.
Happy Birthday St. Gaucho
The Boss Diddy lazima aumie coz mtoto wake aliombwa ashiriki mzigo akapiga chini sasa show imefanya vizuri na madogo wanapiga macontract ya maana Diddy kizunguzungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.