swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,903
Njaa mbaya kaka, huyu siyo Pasco mfikirishaji ni Pasco mbabaishaji. Yaani yeye anawapa Kazi "wapiga filimbi" kufanya Kazi ya uchunguzi. Yaani wewe ni serikali unapewa taarifa ya uhalifu na msamalia mwema halafu unaanza kumlaumu kwa nini asianze yeye upelelezi, kisha akampekua kabisa mtuhumiwa na kumkuta na vielelezo ndo alete TAARIFA.?