Tamko la Balaza la Maaskofu wa Kipentekosite CPCT !!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
876
TAMKO CPCT - ARUSHA-1.jpg
Lowasa-1.jpg lowasa-2.jpg Lowasa-3.jpg Lowsa-5.jpg View attachment 238731View attachment 238732

attachment.php
 
Waislamu wanataka mahakama ya kadhi...Wakiristo hawaitaki.wote ni watanzania wana haki sawa.Ombi langu hii katiba pendekezwa ipigwe STOP,tuweke Tume huru,matokeo kuhojiwa mahakamni,mgombea binafsi ktk katiba ya sasa tuendelee na uchaguzi.Hii itatoa muda wa mjadala mpana kati ya wakiristo na waislam na mwisho wake wataelewana tu....wote ni watanzania na tumekuwa pamoja tokea ukoloni.
 
Haya matamko hadi waganga wa kienyeji watatunisha msuli....Embu serikali timizen wajibu vizuri na haya yote hatutayaona.... Kuna hatari ijayo kila taasis zikiwa extreme kiimani.... Tujadili meza moja kila upande unaohisi kuonewa ili suluhu ipatikane....vinginevyo kuna viashiria vya kutoweka uvumilivu na amani hatimaye itakiwa ndoto....tufanye lobbying zenye tija kitaifa na sio kila upande kuvutia kwa maslahi binafsi
 
Hili tamko linataka kutueleza kuwa kauli ya Gwajima ni binafsi na haitakiwi kuhusishwa na kanisa la Pentekoste... Nionavyo mimi.
 
kindly increase the font size, space between words, space between lines and reinforce the sentences, then I will re-read again
 
Waislamu wanataka mahakama ya kadhi...Wakiristo hawaitaki.wote ni watanzania wana haki sawa.Ombi langu hii katiba pendekezwa ipigwe STOP,tuweke Tume huru,matokeo kuhojiwa mahakamni,mgombea binafsi ktk katiba ya sasa tuendelee na uchaguzi.Hii itatoa muda wa mjadala mpana kati ya wakiristo na waislam na mwisho wake wataelewana tu....wote ni watanzania na tumekuwa pamoja tokea ukoloni.
usiseme waislam wanataka mahakama ya kadhi. sema "waislam wanachama wa BAKWATA" kwasababu jumuiya za kiislam kama 11 hivi ambazo haziisapoti bakwata zinaipinga hii mahakama kuliko hata wakristo wanavyoipinga. hivyo waislam na wakristo wanaipinga mahakama hii, isipokuwa bakwata na waislam wanaowasapoti bakwata ndio wanaitaka. na hao wa bakwata wanaoitaka ni asilimia ndogo sana ya waislam nchini.
 
Kwa heshima nikuambie SIYO KWELI kuna baadhi ya waislamu wanaikataa mahakama ya kadhi au sheria za kiislamu.Kitabu kitakatifu cha waislamu kimetamka sheria zakiislam na kila anayepinga yaliyopo kwenye QURUAN basi automatically amatoka ktk uislamu.
 
serkali yenyewe ndio inajipendekeza kujadili Hii kitu deen ambayo haiwahusu!
 
Waislamu wanataka mahakama ya kadhi...Wakiristo hawaitaki.wote ni watanzania wana haki sawa.Ombi langu hii katiba pendekezwa ipigwe STOP,tuweke Tume huru,matokeo kuhojiwa mahakamni,mgombea binafsi ktk katiba ya sasa tuendelee na uchaguzi.Hii itatoa muda wa mjadala mpana kati ya wakiristo na waislam na mwisho wake wataelewana tu....wote ni watanzania na tumekuwa pamoja tokea ukoloni.

Hapo kwenye RED umekosea Mkuu.
Waislamu wanaitaka na wana haki hiyo.

Mimi nadhani wakristo wanachokataa ni mahakama hiyo kuanzishwa na serikali na kugharamiwa na serikali.

Hapo ndio kwenye kutoolewana kwa maoni yangu.
 
kindly increase the font size, space between words, space between lines and reinforce the sentences, then I will re-read again

the letter is attached as an image so just click it as if you are opening an attached image then it wil redirect to a new window where you can read it properly..instead of just zooming it.
 
Hapo kwenye RED umekosea Mkuu.
Waislamu wanaitaka na wana haki hiyo.

Mimi nadhani wakristo wanachokataa ni mahakama hiyo kuanzishwa na serikali na kugharamiwa na serikali.

Hapo ndio kwenye kutoolewana kwa maoni yangu.

Mh.Rais kesha pasua jipu.Serikali haitaanzisha wala kuigharamikia hiyo mahakama
Taarifa ya habari ITV saa mbili usiku leo.
 
Hapo kwenye RED umekosea Mkuu.
Waislamu wanaitaka na wana haki hiyo.

Mimi nadhani wakristo wanachokataa ni mahakama hiyo kuanzishwa na serikali na kugharamiwa na serikali.

Hapo ndio kwenye kutoolewana kwa maoni yangu.

Mkuu umeongea ukwel! Waislam waanzishe mahakama yao na wagharikie wenyewe! That is all! Huwezi kupinga iman ya mtu
 
Back
Top Bottom