Recent content by unyakudongo

  1. U

    Wakati Tanzania tukijidanganya kuokota points kwa Zambia na Congo DR wao wamesema hivi

    Cha msingi tumpe nafasi Kibu denga nae aonekane huko
  2. U

    Gender stigmatization: CHADEMA kushinikiza kufukuzwa Wabunge Viti Maalum

    roho mbaya hizo acheni wapate riziki yao kwenye ubunge huko
  3. U

    Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

    watanzania gani waliumia wewe.wananchi tulio wengi tuliishi maisha ya kawaida tu kama tunavyoishi sasa.labda ninyi mabepari wakwepa kodi ndo mdai mliumizwa.afu msipende kuzungumzia maumivu yenu wachache kuwakilisha umma mkubwa wa watanzania
  4. U

    Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

    safi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. U

    Natafuta mchumba

    awe wa kike mwenye umri usiozidi miaka 30 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. U

    Hawa watu wawili (2) walizaliwa hapa Tanganyika/Tanzania nyakati zisizo sahihi kwao!

    humu kuna watu wanajikuta wajuaji sana wa mambo kumbe hata pengine wanashindwa kuyadadafua katika maisha yao ya kila siku.mfano wa Nyerere kuzaliwa katika wasomi wachache ni sawa useme kina Mao ,Mahindra,Kenyattah,Nkurumah pia walizaliwa kwenye wasomi wachache kana kwamba uongozi ungewashinda...
  7. U

    Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

    hili jamaa lililoandika hii mada utakuta pia ni shabiki la timu za nje huko na endapo akipewa mialiko kwenda huko pia atashangilia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. U

    Msaada: Naomba kujua ratiba ya kila siku ya Shule ya Njombe Sekondari

    sasa hivi hakuna o-level pale kuna A-level tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. U

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Wewe mtoa mada kwenu wapi? Tukwambie pia matatizo ya kwenu?
  10. U

    Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Mbona kashindwa kusema waliomuua msimamizi wa tume ya uchaguzi Kenya? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. U

    Kwa Makanisa yetu Tanzania

    Ndizo hizo pesa wananunua ndege na magari ya kifahari Sent using Jamii Forums mobile app
  12. U

    Mbowe anapoitangazia Dunia kuwa Tanzania si mahali Salama ana maana gani?

    Huko Kenya kuna usalama gani mbna msimamizi wa uchaguzi alitekwa na akapatikana akiwa ameuawa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. U

    TAFAKURI: Kwanini Serikali imekataa kugharamia matibabu ya Lissu nje ya nchi?

    Hivi kwani yeye Tundu Lissu hana pesa za kumsaidia kutibiwa nje au Chadema si watumie pesa za chama kumtubu nje? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. U

    Zilipendwa Ni Fire

    Ali kiba sio siri huo wimbo hamna kitu mwanzo mwisho anajisifia tu yeye majina yake eti basi hata ujumbe what to conclude hamna Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom