Kwa Makanisa yetu Tanzania

Kwa Makanisa yetu Tanzania

sabato utoaji upo ila si wa kufanya hivyo, ukisema huna unaachwa. yaan ni hiari yako ila zaka unatakiwa uelewe malaki 10.
wanaweza kua smart kwenye utoaji ila wana mazaifu mengi sana
kazi yao kuponda makanisa mengine na kujiona wao ndio wenye mungu kwa hoja ya kusali jumamosi.Na ni wabaguzi sana..dhehebu lingine kuoa msabato ni ngumu kuliko kuoa mwislam wa pemba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makanisa ya kibiashara yana tabu sana

Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
Ukitaka kujua dini ni biashara angalia matukio mengi hapa kwetu. Mwanza wauumini walimtolea uvivu askofu wao wakampatia kisago cha nguvu. Mwembechai vijana na wazee nusura wakatane mapanga. Unadhani kwanini kuna migogoro makanisani na misikituni kama kweli wanayoyafundisha ni ya kweli. Kuna dini zingine hutakiwi kabisa kuhoji ati unakufuru utadhani wao ni miungu.
 
wanaweza kua smart kwenye utoaji ila wana mazaifu mengi sana
kazi yao kuponda makanisa mengine na kujiona wao ndio wenye mungu kwa hoja ya kusali jumamosi.Na ni wabaguzi sana..dhehebu lingine kuoa msabato ni ngumu kuliko kuoa mwislam wa pemba

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umenena vyema, hili suala ni lazima niwaambie ili walishughulikie, Nyakati kama hizi si nyakati za lawama ni nyakati za kuunganisha ndugu kwa ajili ya damu ya Bwana wetu, YESU KRISTO, iliyomwagika kwa ajili ya ukombozi wa Ndugu zetu.
 
wanaweza kua smart kwenye utoaji ila wana mazaifu mengi sana
kazi yao kuponda makanisa mengine na kujiona wao ndio wenye mungu kwa hoja ya kusali jumamosi.Na ni wabaguzi sana..dhehebu lingine kuoa msabato ni ngumu kuliko kuoa mwislam wa pemba

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umenena vyema, hili suala ni lazima niwaambie ili walishughulikie, Nyakati kama hizi si nyakati za lawama ni nyakati za kuunganisha ndugu kwa ajili ya damu ya Bwana wetu, YESU KRISTO, iliyomwagika kwa ajili ya ukombozi wa Ndugu zetu.
 
mchungaji kuleta hizo mambo ni ishara tosha kuwa hapo hakuna ibada ni porojo tu kwa kutumia neno la Mungu
 
hivi kama mtu hana sadaka ndo asije kabisa kanisani..semeni tu kuliko kudhalilisha wanyonge huko ibadani.
naona tukiingia ibadani mmekazia michango hadi tusio nacho tunaona aibu..
ukiingia na mia tano yako unakuta sadaka za aina tano sijui..mwenye mia yake afanyeje?
kanisa nnalosali walah tena mchungaji alikua anakera ila hajui tu..anashika mic anatangaza mchango halafu anamfuata mmoja mmoja alipokaa na kumwekea mic aseme aahidi..au kama ana hela atoe yoyote..halafu anaitangaza na jina la mtu
kibaya zaidi ni hii tabia ya kutangaza sadaka ya mtu
maandiko yanasema sadaka ni siri ya mru na MUNGU wake..yani vile anapoishika mkononi ..mkono mwingine usijue..sembuse bindamu mwenzie.???

na sasa mna maombi kwa kiwango cha sadaka..eri wafanyabiashara sadaka maalum elfu sitini..uiweke kwenye bahasha maalum ukienda kutoa ndo eti unaombewa baraka na mafanikio...si kila mfanyabiashra anamudu..kwahiyo wao wasiomudu.hawastahili baraka na kufanikiwa kutoka kwa Mungu?

mimi mara ya mwisho kwenda kanisa la kilokole ni pale mtongani..toa sadaka uwekewe mkono...wasio na sadaka za kuweka kwenye bahasha wanaona bora wabaki tu..wanaovoangaliwa sasa ni aibu!!

nkarudi nkawa nasali kwenye dhehebu langu...siku ya pentcoste akaja muhubiri wa siku zote kanisani..baada ya sala na maombi mazito nashangaa watu wanatoa bahasha za khaki wanaingiza hela..noti!!..
mi nlikuja na buku yangu..sadaka nshatoa..naambiwa hii sadaka ya mafuta ya baraka sijui upako..yale ya mzeituni
tatizo sikuwepo jumapili ilopita..na wasiokuwepo pia jpili lopita wakapewa bahasha..tia hela humo...wakaanza kupanga foleni ya kupakwa mafuta..lakini kwa utaratibu kwamba wewe usiyeenda unaonekana ukiwa umekaa umebaki benchi walipotoka...mi nlijiskia vibaya sana..kilichoniuma zaidi kuna mabint wawili karibu yangu..nkawauliza mbona hamuendi..wakasema tunajua lakini hatuna hela
mavazi yao yalionesha kabisa wapo duni.
nlitarajia wahudumu wa kanisa wanaosimamia wawaambie nendeni hivohivo hata kama hamna hela..walaa!wanawapita tu!
mi wananiuliza huna sadaka!?.nkawaambia sina nlikuja na sadaka kuu tu..nshatoa.wanajibu haya!
kule mbele sasa..tumbukiza bahasha..pakwa mafuta kwenye paji! tumbukiza bahasha ya sadaka nkupake mafuta utsinii..

najua mnatoa bahasha coz taget zenu ni noti noti tu..maskini na mia yake aiweke kwenye bahasha?

jiskieni aibu!
Only a few who constantly search the scriptures know that the Holy Spirit is no longer in churches. As such they are ruled by human knowledge, so such man made doctrines are being promoted and accepted to the ignorance of the masses.

Romans 16:18 " For they that are such serve not our Lord Jesus Christ, but their own belly; and by good words and fair speeches deceive the hearts of the simple".


When you study the Bible the word simple refers to ability to receive everything as the come without further analysis.
 
"Yesu alipouona umati akawasikitikia na kuwahurumia kwamaana walikua kama kondoo waliochunwa na ngozi na kuachwa(na viongozi wa dini)"
 
Siku moja YESU aliona watu wanatoa sadaka kubwa kubwa na mali nyingi mama mmoja kwa muonekano alikuwa masikini akaja na kahela kake kaduchu sana sasa YESU akamuona akamshika mkono akasema hakika huyu ndiye aliyetoa kikubwa kuliko nyinyi wote maana amejinyima akaona atoke alicho nacho.Siku hizi makanisa yamekuwa dili sio mahali pa kumuabudu mungu tena.
 
Si kwa wakatoliki ndugu zangu, hayo yapo ktk vikanisa (a.k.a 'vioski') vyenu vya uchochoroni
kioski cha Mlima wa baridi
kioski cha wokovu
kioski cha kikobe
nk. nk
 
Mkuu unalielewa hili kanisa la Roma na historua yake ama unafikiri tunawaonea? Nimesema mimi mkatoliki lakini si practice maana sina imani na baadhi ya mafundisho yake. Kaangalie kisa cha kusambaratika kwa kanisa kubwa la Roma na kwanini Martin Luther aliwaanika. Hakuna dini hapa duniani isiyoendeshwa kitapeli. Dini zote zina utapeli na kusingizia moto huko maisha baada ya kifo.
Hivi kuna anayeweza kulisambaratisha Kanisa Moja takatifu Katoliki la mitume...??? Yupo...????
 
Mkuu unalielewa hili kanisa la Roma na historua yake ama unafikiri tunawaonea? Nimesema mimi mkatoliki lakini si practice maana sina imani na baadhi ya mafundisho yake. Kaangalie kisa cha kusambaratika kwa kanisa kubwa la Roma na kwanini Martin Luther aliwaanika. Hakuna dini hapa duniani isiyoendeshwa kitapeli. Dini zote zina utapeli na kusingizia moto huko maisha baada ya kifo.
Kanisa catholic halijawahi kusambaratika, acha kupotosha!!
 
Vitendo hivi vinawaudhi wengi lakini hawana namna. Mtu akiwaza mazishi yake yatakuwaje akijitenga na makanisa anaogopa, hivyo kuendelea kujikaza.

Kuna haja ya kuwa na umoja wa kusaidiana kiroho na faraja kipindi cha matatizo. Umoja ambao imani yake ni Mungu lakini hauwaibii watu. Maana kinachotutisha wengi ni pale mtu asiyehudhiria kanisani anapopata matatizo ama kufiwa au kufa mwenyewe. Katika kipindi kile ndipo mahubiri ya vitisho hutolewa na kuwaogofaya watu. Hofu huwafanya wavumilie kuibiwa ili mradi wanafurahia Security ya kundini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nikifa najali nini. Yaani kuombea mwili usio na kazi, waache aisee!
 
Kanisa catholic halijawahi kusambaratika, acha kupotosha!!
Ile Reformation unaiitaje mbona mnatetea hata upuuzi. Nimewaambia mkasome historia ya kanisa lenu. Mimi ni mkatoliki na nimefuatilia historia ya Kanisa na huo ndiyo ukweli wenyewe. Utapeli wa kanisa ktk karne ya 16 ilisababisha mpasuko na ndiyo maana unayaona makundi ya Evangalicals na pentekosto sababu hawakukubaliana na usanii wa kanisa katoliki. Sasa hivi hata neno katoliki limeondoa maana yake. Hili ni neno lilitokana na lugha ya kigiriki likimaanisha wafuasi wote wa kristu duniani ni wakatoliki lakini ninyi mnadhani katoliki na sawa na kanisa la roma. Kama mimi napotosha leta ukweli ili tujue ukweli JF kua jukwaa la ma GT
 
Back
Top Bottom