• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Msaada: Naomba kujua ratiba ya kila siku ya Shule ya Njombe Sekondari

A

Asksr

Member
Joined
Jun 12, 2019
Messages
43
Points
125
A

Asksr

Member
Joined Jun 12, 2019
43 125
Kwa yeyote aliyewahi kusoma njombe sekondari naomba anisaidie maisha ya kila siku kama vile ;
Muda wa pola.

Muda wa kutoka darasani,

Je kuna remedial?,

Night prepo inaishia saa ngapi?, nk
 
diamond d

diamond d

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
433
Points
1,000
diamond d

diamond d

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
433 1,000
Form one kuamka saa 10 kudeki mesi
Saa nne kamili Pola na katala
Saa nane au tisa Ugali nyango na Top layer
Saa 10 kuchunga ng'ombe na bustanini
Kumi na moja kwenda msitu wa ndovu
Saa moja Mesini kisha Prepo na kumbonjiSent from Gnet Phone using JamiiForums
 
A

Asksr

Member
Joined
Jun 12, 2019
Messages
43
Points
125
A

Asksr

Member
Joined Jun 12, 2019
43 125
Form one kuamka saa 10 kudeki mesi
Saa nne kamili Pola na katala
Saa nane au tisa Ugali nyango na Top layer
Saa 10 kuchunga ng'ombe na bustanini
Kumi na moja kwenda msitu wa ndovu
Saa moja Mesini kisha Prepo na kumbonjiSent from Gnet Phone using JamiiForums
Prepo inaisha saa ngapi?

Huko msitu wa ndovu kufanya nini?
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
12,820
Points
2,000
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
12,820 2,000
Kumbe kuna form one humu?
 
mjusilizard

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2019
Messages
284
Points
500
mjusilizard

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2019
284 500
Kwa yeyote aliyewahi kusoma njombe sekondari naomba anisaidie maisha ya kila siku kama vile ;
Muda wa pola.

Muda wa kutoka darasani,

Je kuna remedial?,

Night prepo inaishia saa ngapi?, nk
ingia Fcabook mtafute mtu anajiita


Mtoto Wa Mkulima
ni mwalimu wa pale, atakupa maelezo kwa kina.
 
gh hussa

gh hussa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
2,421
Points
2,000
gh hussa

gh hussa

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
2,421 2,000
Write your reply...nilisoma agriculture pale o level miaka ya 1983
 

Forum statistics

Threads 1,403,189
Members 531,106
Posts 34,416,703
Top