Recent content by Untwa

  1. Untwa

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Aisee kweli Dunia haiishi majungu na fitna pole mtoa post
  2. Untwa

    JamiiForums Tanzania Kikao gani kiliamua Nyerere awe 'Baba wa Taifa'?

    Kuwa baba kuna hitaji kikao?
  3. Untwa

    JamiiForums Tanzania Tuntemeke Mesaka Nnnung'wa Sanga na Hoja ya Muungano mwaka 1993

    Hayati Tuntemeke Sanga alipata kuwa mtu maarufu sana katika Bunge enzi za uhai wake. Miongoni mwa hoja zilizokuwa na mashiko ni za kutaka Muungano uvunjwe badala yake Burundi na Rwanda zitwaliwe na Tanganyika. Katika mawazo haya yenye kukinzana moja linaweza kuwa halisi siku si nyingi...
  4. Untwa

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Lema Arusha: Kesi yaahirishwa hadi Oktoba 2, 2012

    Yote tu mkuu walitakiwa waseme shida iko wapi wanapigapiga kalenda tu
  5. Untwa

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Lema Arusha: Kesi yaahirishwa hadi Oktoba 2, 2012

    Kesi ya Lema imesogezwa mbele sasa kuamliwa tarehe 2 October
  6. Untwa

    JamiiForums Tanzania Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Watu nyie wapuuzi kabisa kuiba muibe nyie kashfa mwatupie wengine
  7. Untwa

    JamiiForums Tanzania MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Huu dhahiri ni ujuha na Upuuzi wa mwandishi wa thread kwa hiyo unataka watu wasisalimiane!!!!!
  8. Untwa

    JamiiForums Tanzania Haya tuseme nchi imechukuliwa na Upinzani!

    Inataka moyo,
  9. Untwa

    JamiiForums Tanzania Haya tuseme nchi imechukuliwa na Upinzani!

    Tuseme nchi imechukuliwa na chama makini cha upinzani, unadhani katika kipindi cha kwanza cha Rais mteule nchi itakuwa katika hali gani kisiasa na kijamii?
  10. Untwa

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Nimesoma mengi sana nimebaini kwamba wachangiaji wengi wanafuata upepo na hili ni tatizo, Binafsi nampongeza kijana huyu kwa kazi nzuri anayoendelea nayo na kama serikali inataka tuendelee kuiamini angalau kwa miaka mitatu iliyobakia wasimbadilishie kitengo huyu Mkurugenzi. Let him finish his...
  11. Untwa

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    CCM she***i type na kuwalisha sumu wananchi lakini mwisho wa siku ujumbe umefika kifo kinawakaribia
  12. Untwa

    JamiiForums Tanzania Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

    Soon dini kitakuwa chanzo cha vurugu nchi hii, hebu tusubiri na tuone
  13. Untwa

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania wanawaza Fiesta - Samwel Sitta

    All what he said was the truth
  14. Untwa

    JamiiForums Tanzania Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Bado kidoogo tutaanza kuuzwa sisi watanzania kwa mwendo huu du!
  15. Untwa

    JamiiForums Tanzania Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Mkuu inasemekana bei ni shilingi 200 kwa ekari moja, lakini haijabainika kama bei hiyo ni kwa mwaka au kwa kipindi gani na kwamba serikali za vijiji jirani zitaambulia shilingi miatano
Back
Top Bottom