Recent content by Unknown23

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nani kakudanganya kuwa kuajiriwa ni utumwa?

    Nakubaliana na wewe
  2. U

    JamiiForums Tanzania Baby sitter services

    Wooh kazi nzuri sana hio nimeipenda Keep it up Kikubwa uaminifu wa hali ya juu sana na naamini kama una maono baadae itakuwa kampuni kubwa sana.
  3. U

    JamiiForums Tanzania WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

    Ajabu ni kuwa hata watu wazima wana act kama watoto wadogo Tubadilike kwa faida ya jamii na hadhi mtandao wetu Mtu Ana comment kwa lengo la kupata sifa hajui kama kuna muda Ana umiza hisia za mtoa mada husika.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naondoaje uraibu wa kusikiliza muziki?

    Hahahah dah ila jf huwezi kufa kwa stress kabisa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yatangaza kuanza kwa programu ya diversity visaby U.S

    Jamaa yupo dunia nyingine 😂
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mwezi mpevu wa Ramadan2024 utatafutwa leo! Endelea kuwa nasi kwa update

    😂😂Swali tamu sana lakini fikirishi
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ni bora nisingemjua Mama yangu

    Umeongea kitu kikubwa sana sana na kimenigusa mno naamini una experience katika hili..... Ukweli ndio huo mtoa mada azingatie hapa
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mind control (udhibiti wa akili)

    Great post
  9. U

    JamiiForums Tanzania Je utumwa ilikua mipango ya Mungu ana ilitokea bahati mbaya?

    Kwa mujibu wa maandiko tuliyofundishwa na kuaminishwa toka utoto jibu ni ndio utumwa ulikuwa mpango wa Mungu bila kupepesa maho ila kwakua pia tunapenda kunena mema katika maandiko na imani za Mungu hili swala litafumbwa fumbwa na kupambwa kwa maneno mazuri ili kuonekana Mungu hakuhusika.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ishi na mnafki kikauzu, vinginevyo utaumia tena.

    Upo sahihi sana
  11. U

    JamiiForums Tanzania Baba adaiwa kuua mwanaye wa miezi 5

    R. I. P
  12. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao

    Mungu atusaidie
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ninatamani kutoka katika nchi hii ya Tanzania

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walah JF raha sana
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ninatamani kutoka katika nchi hii ya Tanzania

    Sitaki nchi za kiarabu [emoji16]
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ninatamani kutoka katika nchi hii ya Tanzania

    Nyuzi zote ninazo za humu kuhusu haya mambo mkuu nafatilia kila nukta
Back
Top Bottom