Recent content by Unknown philosopher

  1. Unknown philosopher

    PreGE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

    Kk jeshi ni kufuata amri tuuh ya serikal ilikuwa madarakani kwa mujibu wa katiba sasa serikali ni CCM na wao hawataki kutoka madrakani lazima watumie dola kubaki madrakani so mm sijaona jeshi wankosa gani hapo
  2. Unknown philosopher

    PreGE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

    First katiba ndo chnagamoyo inatoa sana madaraka kwa viongozi kwa wanachi sisi bado ni watumikia amri tuuh
  3. Unknown philosopher

    Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    Bro izo ni siasa tuu he kama magufuli angekuwa hai angesema hivo ........ hii yuiweke kwenye mabano
  4. Unknown philosopher

    Erdogan asema Uturuki inaweza kuzuia ombi la Uswidi la uanachama wa NATO

    Yaan NATO kwa uturuli hawana cha kusmea koz ndo nchi inayouunganisha ulaya na mashariki ya kati so ana uwezo wa kufnya hivo by the way wazungu bana wachokoz sna kwa nn uchome Quran for what... ... niliamni wazungu wako civilized lakin bado wapo kwenye zama za zman
  5. Unknown philosopher

    Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Yaani mtu kukataa cheo iwe ndo shida kila mtu ana haki ya kufanya hivo kama anona u DC hauna tija
  6. Unknown philosopher

    Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

    Mm shabili wa simba ila kwa iziz jez mmeua ingawaje mmeiga lakini jez kal kama ile nyeusi na kijan
  7. Unknown philosopher

    Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Yeah wanahaki ya kufanya hivo koz kama u DChauna tija ya nn kujipa jaka la moyo ........ ukiona hivo ujue hawa sio watu wa interests maan kukataa ukuu wa wilay sio simplelakin kwangu mm nawaunga mkono
  8. Unknown philosopher

    Nimempenda sister wa kanisa

    Hivi wale ma sister na mapadre mbona wanaenda tofauti na human nature hawa oi wala kuolewa that why ndo mana kuna skendo za kulawiti watt
  9. Unknown philosopher

    Kampuni za simu zimulikwe kuna tatizo pahala. Gharama za vifurushi zinazidi bajeti ya kuweka petrol kwenye gari kutembea kilometre 18

    Yeaah sure bro umegusa kunako yaani bando 3000 daah lita hio ya diesel inafnya sasa sinu ziwe liabilities ...... Someone
  10. Unknown philosopher

    Mashabiki wa Simba SC tuamke, Mo Dewji anainyonya sana Simba

    Huwa najiuliza sana izo 20 billion aliziweka wap koz kama ipo hio 20 billion kwenye account ya simba tunaweza kununua at treasury bond pale BOT na ikawa kama ndo dhamana yetu yaani tunapata contractor mzur tunjenga iwanja na kila kitu but sizan kama ni kwel sasa kama mapato ni 12bil na matumizi...
  11. Unknown philosopher

    IRAN Yashambuliwa kwa Drones

    Yeaah apo tafsiri ya ugaid ni changamoto but mara nyingi inhushwa na uislamu yaan ikitokea mauwaji yoyote kama aliyeua si muislamu inakua so shida but akiwa muslim that is terrorist........ dunia ina mambo😁
  12. Unknown philosopher

    IRAN Yashambuliwa kwa Drones

    But Israel inashutumiwa sana koz mosad ndo wahusika wakuu
  13. Unknown philosopher

    Mfumo unaopendekezwa wa Bima ya Afya kwa Wote Haufai

    Sure kabisa yaan ukienda hospital ukiwa na bima unaonekana kama sio mgonjwa af pia ina limiti ya kutibiwa example mm nitumia miwani but bima haiwez kunilipia ..... nini maana yake
  14. Unknown philosopher

    IRAN Yashambuliwa kwa Drones

    Yaani kwa masharikibya kati nchi amabayo ni threat kwa marekani na washirika wake ni iran that is why shirika la kijasusi la Israel linawaangamiza wana syansi wakubwa wa nyuklia wa iran ili kuwapunguza nguvu na wakifanikiwa tuu kwa iran watakua wmeshaweza mashariki ya kati ....... bg the way pia...
Back
Top Bottom