conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 718
- 569
Ukinununua bandle ya sh.500 Airtel yenye MB 245 ni Sawa na kununua Mb 1 sh 2 na cent, kufungua tu application ya Airtel uliyo weka kwenye simu, (kufungua tu loading time), unakula Mb 30 ambazo ni Sawa na sh 60. Kitendo cha kufungua tu kinachuka kama sekunde moja au kati ya sekunde 45-50 (wale wenye 4G).
Hivyo basi kama hiyo ndo kanununi inayotumka kwa Application zote zilizoko kwenye simu let say, TRA, JF, WHATSAP, FB, TWITTER, nk.. application nane tu kufungua.
Bandle imeisha, sijakwenda kwenye application na kuanza kusearch. Hapo tunaelekea wapi kama nchi na ,Kama jamii inayotegemea IDARA zilizopewa jukumu la kusimamia WALAJI haioni j ambo hili kama tatizo kubwa?
HOFU yangu binadamu ana tabia ya kuvumilia Sana, akija kufanya maamuz sijuhi jiwe litadondokea kwenye nyumba ya vioo ya nani. Ushauri wangu SERIKAL NA WAMILIKI wa makampuni haya na wafanyakazi wake wajue si ajabu jamii ambayo haiko kwenye maamuz inaweza kuwa inajua zaidi kuliko wao, lakin wengine tunawazid ufaham tu,ila si wote tulundikane sehem moja, kuna kizazi kitakataa Ujinga huu.