Recent content by Universal-soldier

  1. U

    JamiiForums Tanzania Raymond Kigosi bado anaigiza?

    hujaisikia ya juzi juzi hapo??? Huyo wa kulia kwake pichani nusu avunje ndoa yake.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Congress in turmoil as protesters storm US Capitol Building

    Wafuasi wa tundu lissu ni mabingwa wa ku comment tu humu ndani ila walipoitwa kwenye maandamano waka ufyata.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Umeandika pumba tupu. Hivi una uhakika Magufuli ndio mtekaji??? Utaendelea kujifariji kwa comment kama hizi na member wenzio humu ndani usiporuhusu ufahamu wako ufanye kazi mpaka akili ikukae sawa.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Huyo nana si ndio huyu???
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Huko ghana kuna platform moja ambayo ni kama jamii forum huku. Nao wanasema bora wampe shetani kula kuliko huyo mzee akufoh. So mnayosema hapa wala hayashtui.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Aston Villa hii Samatta atarudishwa kundini?

    Ila jack grealish ni fundi yule jamaa
  7. U

    JamiiForums Tanzania Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

    hakika mwamba. Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

    nakupata mzee wa negativity hater katika ubora wako. Ila jamaa ni balozi wa pepsi sio wa joto duniani so hapo hahusiki.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

    Naona unavyocheka na emoji zako. Endelea ku enjoy kwa furaha isiyo dumu na muda sio mrefu hiyo tv itafunguliwa.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

    Kwani hiyo media imeanguka??? Na siku chache zijazo utakuta inafunguliwa na huta amini.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

    Juzi juzi pepsi walikuwa wanasherekea rekodi kubwa ya mauzo kwa mwaka 2020. Hakika mkono wa mwamba umehusika
  12. U

    JamiiForums Tanzania RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

    Kwa jeuri wasafi wanaenda kwenye party nyingine kwa hiyo miezi sita kama ile iliyopita. #mchezousiuchezeeeee
Back
Top Bottom