Tatizo lako linaitwa peripheral neuropathy linatokana na mishipa ya nerves kushindwa kufanya kazi vizuri so dawa zake ni gabapentine 300mg kidonge kimoja kwa siku mwezi mzima au unaweza tumia pregabalin 75mg na yenyewe dozi mwezi mzima kumbuka maumivu hayaishi siku moja ni mwendo wa taratibu...
Hakuna nnchi ambayo inaendeshwa bila kodi wacha waondoke manake wamezoea kuja ku make profit huku bila kulipa kodi wacha waende zao kula ambapo hawalipi kodi pumbafffffff
Samahani mtoa mada unaweza kunipatia jina la dereva huyo japo ni kitu kimetokea miaka imepita kuna rafiki yangu nilisoma nae primary school baadae nikasikia anaendesha gari za mizigo kwenda congo nikasikia amefia njiani na kuzikwa hukohuko sasa sina hakika kama ndo yeye alikua akiitwa muddy mandevu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.