Panya road wavamia sherehe za mahafali Msongola

Panya road wavamia sherehe za mahafali Msongola

Hamna kusingizia ugumu wa maisha kuongea hivyo mnazidi kuwapa nguvu hawa wapumbavu! Tatizo watu wa ulinzi na usalama wanacheza muvi na wapinzani...hawa watoto si wakutukosesha raha kiasi hicho!
Hata wewe hilo ni jukumu na km hulijui subiri wakupitie wakati ukisubiri vyombo sijui vya nini
 
Tatizo wanaume/na wavulana walikuwa busy kucheza singeri tu hapo kwenye sherehe.

Nothing else.
 
Hivi wanaume wa Dar mna nini cha kujivunia hasa? Yaani mahafali inatetemeshwa na watoto 20? Hata kama wakiwa na silaha za jadi haiwezekani sherehe nzima mtekwe mnyang'anywe simu zenu na nyie kweli mnazisalimisha kwa panya road, shame on you wanaume wa Dar!
Waambie waache kula chips na kufanya massage wamelegea sana
 
Hivi wanaume wa Dar mna nini cha kujivunia hasa? Yaani mahafali inatetemeshwa na watoto 20? Hata kama wakiwa na silaha za jadi haiwezekani sherehe nzima mtekwe mnyang'anywe simu zenu na nyie kweli mnazisalimisha kwa panya road, shame on you wanaume wa Dar!
Tatizo nani aanze kupigwa panga ndio maana kila mtu anainusuru sura yake
 
Hivi wanaume wa Dar mna nini cha kujivunia hasa? Yaani mahafali inatetemeshwa na watoto 20? Hata kama wakiwa na silaha za jadi haiwezekani sherehe nzima mtekwe mnyang'anywe simu zenu na nyie kweli mnazisalimisha kwa panya road, shame on you wanaume wa Dar!
Ulivyokuja dar kwa Mara ya kwanza mbona hata wewe uliibiwa UBT.au umeshasahau.
 
Dui hawakomi tu,utadhani gedere shamban,unafukuza lkn kesho tena wanardi jaman!!
 
Yan hawakomi tu vipigo vyote walivyoshushiwa wenzao hawasikii
 
Dar es salaam, Dar es salaam...Ni nani aliyewaloga! ?

Kwanini wanaume mnakuwa kama mabinti? Hao vijana wadogo mnashindwa kuwadhibiti?
 
Huyo mmoja aliyekamatwa apewe kichapo cha maana ili awe mfano kwa watoto wengine kuachana na vitendo vya uporaji.
 
Mimi nadhani kuna kitu akiendi sawa. haiwezekani kwa taifa linalosifika kiintelejensia kama Tanzania kuchezewa na watoto wadog o watumiao silaha za jadi kila siku. ni aibu sana ukizingatia serikari yote bado ipo Dar.hivi TSS wanafanya kazi ipi?
wototo hawa wakiachwa watakuwa watu wazima na baadaye wanaweza kuwa tishio kuu kwa usalama wa nchi. hivo vikundi vyao vitakuja kuwa kama al-shababu. wahenga walisema; MZAHA MZAHA...............................
 
Back
Top Bottom