Recent content by Uncle Yoso

  1. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Nimezisikiloza nyimbo zote kijana KAUA sana [emoji91][emoji91][emoji91] nyimbo zote zipo Hot
  2. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Alikiba anakutaka usiwe na wivu

    Ngoja team kibakuli waje
  3. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Mchungaji na Bilionea Shilla...

    Nilisham unfollow insta kwa kuona simuelewi elewi
  4. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Dunia imefika mwisho, Sayari ya Nibiru inadaiwa kuikaribia Dunia

    Ije tu kwani kuna ubaya gani
  5. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

    Ndo lishakuwa lakwake mkuu wewe unateseka nini ?
  6. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

    Ulikuwa unatakaje
  7. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

    Kama namuona vile Harmo-Mondi anavyoweweseka kusikia mwenzake katoa dude
  8. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

    Haka kajamaa kaacheni tu sijui kanatumia ndumba gani wimbo ni dude balaaa, Usiniguse usini touch tusalimiane kwa miguu
  9. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Matarajio yangu juu ya ujio mpya Dizasta Vina (The Verteller)

    Moja kati ya watu ninaowaelewa zaidi kwenye Hip hop ukiniambia nikupe orodha ya wana hip hop huyu jamaa ni namba moja kwangu sio hivi vijamaa vyenu vibana pua vinachana kwa kubenjua benjua vidomo fuc*n
  10. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

    Vijana hawapendi mambo ya kiduanzi chakwangu ni chakwangu mimina familia yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Nyumbani kwa shujaa haviishi vilio

    Mimi ni shujaa
  12. Uncle Yoso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye hili mke wangu nimejisikia vibaya sana kwa kweli

    kwa kweli...
  13. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

    kama ulivyoniahidi zuchu my wife to be kwamba utakuwa na mimi hata milele unaenda kujulikana na dunia usiniache... hayo ni maneno ya baharia mmoja yalisikika yakisema
  14. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

    hako ka wimbo ka hujanikomoa ni message kwa mtu fulani
  15. Uncle Yoso

    JamiiForums Tanzania Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

    Duuuh Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom