Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

Kwani kwenye playlist ya nyimbo zako za gospel hauna ule wimbo unaimwa"Mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako"
 
Moja:

Wengi wa sisi tunapenda kuvunga ili tusionekane tuna rohombaya, mimi kama mswahili nimekuelewa sana, unajaribu kulinda uhuru na furaha ya wanao.
Tatizo hapa sio jamaa wala sio mtoto,tatizo ni mzazi wa mtoto ambaye hashughuliki na kumuongoza mwanae.

Enzi 2009 tulikuwa tunaishi uswahilini mbagala na mama na wadogo zangu wawili, ilikuwa ikifika mida ya misosi, kuna dogo wa jirani 3 yrs unakuta kafika, tukawa tunaichukulia kawaida daily.

Kuna siku ilikuwa jumapili bwana nilikuwa dirishani natoatoa vumbi kama mishale ya saa saba kasoro mchana, hili dirisha ndio linaloangalia kwa jirani.

Basi buana huku naendelea na usafi mara bi mkubwa na madogo wakaniita sign ya kuwa msosi tayari, sikuamini pale nilipoona yule jirani anamtoa yule mwanae ndani na kumuelekeza akimbie haraka kuelekea home ili aje afinye.

Hapo tatizo ni mama wa mtoto, na sio kama alikuwa hana uwezo wa kumlisha, maana mumewe alikuwa dereva wa mikoani na akirudi anamletea ma misosi kama yote.

Tatizo uswahilini kuna ubinafsi hatujali kama kitu kinaweza kuwa kero kwa mwingine or no.
Buhahahahahahh
 
Kwani kwenye playlist ya nyimbo zako za gospel hauna ule wimbo unaimwa"Mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako"
Nasikilizaga gospel za katoliki Mzee tena zile za zamani hizi za walokole za majungu sisikilizi
 
Aisee, hii ni kero kubwa sana
Kuna kipindi niko zangu na geto mitaa ya temeke, jirani yangu alikuwa na mtoto ndio anatembea, basi dogo anapenda radio unakuta anakuja room mara abonyeze bonyeze,siku kaja kavuta ka HP kangu kakapiga chini kakaharibika screen nikakausha, ukimtoa analia afu maza ake haata hatilii mkazo wa ku take action ya kumzuia

Kero zaidi ni kwamba dogo alikuwa havalishwi hata pampers ,ananuka mikojo au unakuta anakuja room mara kakojoa au anajinyea, unaanza kufuta maana huwezi ruhusu mama ake aje ndani kwako kufuta vinyesi vya mwanae.

Nilipoona kero inazidi nikaanza kukaza sasa, dogo akija namtoa nje nafunga mlango, ataliaa hapo atapigapiga mlango mama ake hana habari, pale ndio naposhangaaga.
And most of the time mama MTU anakuwaga anajifanya Hana time..anapotezea Tu Yani. Anakuchukulia we gentleman. Ukijifanya Mr nice guy he will treat u as a foolish guy
 
Nasikilizaga gospel za katoliki Mzee tena zile za zamani hizi za walokole za majungu sisikilizi
Hahahahah eti za kilokole za kimajungu lakini we gwiji la ulozi vipi umezindika hapo kwako usije ukashangaa kitoto chenyewe ki C.I.A cha wapaa na ungo usiku
 
Hahahahah eti za kilokole za kimajungu lakini we gwiji la ulozi vipi umezindika hapo kwako usije ukashangaa kitoto chenyewe ki C.I.A cha wapaa na ungo usiku
Kingekuwa kimeshafukiwa toka enzi za Pontyo wa Pilato.

Mkuu me am feared by people and spirits
 
Aisee, hii ni kero kubwa sana
Kuna kipindi niko zangu na geto mitaa ya temeke, jirani yangu alikuwa na mtoto ndio anatembea, basi dogo anapenda radio unakuta anakuja room mara abonyeze bonyeze,siku kaja kavuta ka HP kangu kakapiga chini kakaharibika screen nikakausha, ukimtoa analia afu maza ake haata hatilii mkazo wa ku take action ya kumzuia

Kero zaidi ni kwamba dogo alikuwa havalishwi hata pampers ,ananuka mikojo au unakuta anakuja room mara kakojoa au anajinyea, unaanza kufuta maana huwezi ruhusu mama ake aje ndani kwako kufuta vinyesi vya mwanae.

Nilipoona kero inazidi nikaanza kukaza sasa, dogo akija namtoa nje nafunga mlango, ataliaa hapo atapigapiga mlango mama ake hana habari, pale ndio naposhangaaga.
Aisee me angetoka ndani ya siku mojaa tuu
 
Uswahilini kiboko, nilikuwa nanyoa kipara, nilipoumwa muda mrefu nywele zimekuwa duuuuuh kustukia upande wa kulia karibu na sikio.

Zinapoanzia sharafa jamaa wameninyoa kidogo, nadhani walikuwa wananinyoa hata wakati ule nikiwa na kipara ila nilishindwa kustukia, lkn imenifurahiiiiiisha na wala sinyoi.
 
Nilichongundua,
Mtoa mada wee Ni mchoyo.

Tena una uchoyo mbaya Sana, unakua mchoyo Hadi kwa watoto wadogo wasojua hili Wala lile.

Inasikitisha Sana.
 
Mjukuu wa mwenye nyumba. 2 yrs old. Mimi naangalia sana katuni. First time nashangaa dogo huyo, nikamuuliza wewe nani akawa anataja jina ila simuelewi nikamtoa nje babu yake ndiyo akamtaja jina.

Naongea na babu yake yeye kasharudi ndani kwangu.

Sikuona tatizo. Balaa likaja kulilia remote, ukitaka kutoka anakuzuia, babu yake anasema niache funguo kwamba akimaliza kuangalia wafunge wanishikie funguo.

Nimelala nasikia hodi ya kugonga mlango kwa nguvu nafungua ni yeye, kaingia kafikia kujilaza kwenye kochi anasubiri tv. Namuambia mi nalala rudi baadaye ananijibu "Sitaki" hii wiki ya pili sijarudi nyumbani.
Wiki ya pili.... Aisee
 
Nilichongundua,
Mtoa mada wee Ni mchoyo.

Tena una uchoyo mbaya Sana, unakua mchoyo Hadi kwa watoto wadogo wasojua hili Wala lile.

Inasikitisha Sana.
Nakubaliana na ww , kwa mustakabali wa maendeleo bora ya watoto wake na mtoto wa jirani yake. Alipaswa amuite jirani yake na kuongea naye .

Nn asichopenda.
 
Baada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini.

Jirani yangu ana mpangaji wake. Huyo mpangaji wake ana mtoto mdogo (4yrs). Mimi nina watoto watatu mmoja la Saba wa kike wawili wakiume (5) and (3).

Sio kwamba Mimi ni mchoyo na mbinafsi, la hasha! Ila hakuna kitu nakichukia katika maisha yangu kama vikwazo. Hii familia ya huyu mtoto mdogo inashindwa kumdhibiti mtoto wao wa kike (4yrs).

Msosi umeiva huyo kaibuka. Tatizo sio chakula. Anakuta watoto wangu wanakula nimewawekea nyama kila mtu na vipande vyake Kwa bajeti yeye huyo mtoto doezi anafika anachukua plate ya chakula anan'gan'gania kisha anaanza kulia eti hataki watoto wangu wale. Hapo mama ake yupo nje.

Siku nyingine anatoka huko kwao anakuja kunywa maji kwangu. Akiwa anakula na wanangu wakitaka kunywa maji analia anataka yeye ndio awe wa kwanza kunywa.

Kero kero zipo nyingi sana. Mimi nilikuwa sina habari hizo cause sishindi home. Last week nimerudi home mapema nakuta madogo ndio wametoka shule halafu eti huyo mtoto analia hataki wao wale chakula walicho andaliwa na dada kazi kwamba kidogo apewe yeye tu.

Na analia kwa nguvu kama kachomwa na mkuki vile. Hapo mama ake yupo nje. Huwa naambiwaga upuuzi huu but sikuwahi kushuhudia. Nikasema hawa wanafanya huu ujinga kwasababu wananiona nimekaa Kikristo sana.

Basi nilimchukua huyo mtoto nikamnyanganya hiyo plate nikamshika nje hadi kwa mama ake nikaanza kumchana mama ake.

"Wewe Mwanamke msiniletee maswala ya ki...nge. Kwangu sio kituo cha kulelea watoto. Mtoto wako anafanya us..nge humkanyi.." Kuanzia leo sitaki kumuona mtoto wako nyumbani kwangu.

It was a surprise for her kwasababu nadhani alikuwa ananiona nimekaa kisomi kisomi na anavyosikiaga naweka ngoma za gospel kwangu basi anajua huyo Mtakatifu Matayo.

Basi kuanzia siku hiyo adabu imekuwepo. Mazoea hakuna tena. On top of that nimeanza kuwa napiga kwa nguvu nyimbo za kigumu.

Ngoma kama Hit 'Em Up na nyimbo nyingine za kigumu gumu ili at least wajue huyu jamaa msela hataki mambo ya kidwanzi.

Majirani kushirikiana kwenye mambo mengine sio kukerana kerana kiasi hicho. Kama una njaa njoo ukope hela umpikie mtoto wako sio kumuacha aje awakere watoto wangu.

Toto lako kula kwangu halafu siku likipata tatizo si ndio mwanzo wa kushikana uchawi huo. Sisi ngozi chafu huwaga sio wastaarabu kabisa

Ngoja nitafute hela nipige Mwanaukome. Ndio maana matajiri wakijenga nyumba zao huwa wanazipiga stop nonsense

#Walayhi nimeona umuhimu wa kuoa. Ukiwa na mke majirani hawawezi kufanya upuuzi kwa sababu wanajua mama mwenye nyumba Hawezi kukubali. Ila wakiwa wanakuona kibachela bachela hivyo wanakuchukulia ki-gentleman sana.
Acha uchoyo
 
uswahilini kazi sana...mimi kuna mtoto wa jirani kila akiniona anataka kuja kwangu na akiingia ndani kutoka hataki ...kila ukimkazia na yeye anakaza ..watoto hawana hata aibu..sasa hiyo ya kulilia vitu mara maandazi mara soda...mara pipi...utadhani mm ni baba yake inakera mno
 
Nope sio uchumi. Mimi sitaki watoto wangu wasumbuliwe. My family is a nuclear family. Nataka nikiwa nakula niwe nimekaa kwenye meza moja Mimi na watoto wangu damu yangu.. sitaki allien nyumbani kwangu.. wanawafundisha watoto wangu tabia mbaya na kuwakwaza.

Imagine toto linakuja linakuta watoto wangu wanakula halafu linashikilia plate linaanza kulia. That's amount to child abuse.
eti alien ....
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
mwanangu akitoka analudi na watoto wa jilani, nawapa juice na wanakula chakula safi, hivyo wananipenda sana wao pamoja na wazazi wao.
 
Kwanza ni kosa kumlisha mtoto wa mtu kwako bila uwepo wa wazazi wake. Iwe ulaya, au uswahilini, usiwe unapenda kulisha watoto wa watu.

Muda wa msosi ukikaribia kasindikize kwao, na kasikuletee mazoea hapo ya kuwabana watoto wako wasienjoy mema ya baba yao......
Kabisa yaani,inaweza ikatokea kama bahati mbaya tu,kakaanza kuumwa tumbo tu,tayari mama yake atakutuhumu kwamba umemlisha mwanae vitu vichafu!
 
Back
Top Bottom